Revised question: Kosa la Gwajima ni lipi?

Hujatimiziwa na Baba yako ndio uje udai kwa baba wa watu, nenda shule ujitimizie haja zako huko mxuuiii
zingatia maelezo yangu ya msingi na itakusaiadia pakubwa for the record.
Acha kumbwelambwela gentleman 🐒
 
 
Adhabu na kosa haviendani kosa lake kuwapa wake up call watu fulani .

Ila je ni sahihi kulifungia kanisa zima na shughuli zake kwanini wasimfungie yeye muhusika Mkuu hii haijakaa sawa kabisa
 
Father ulimsikia Tulia aliongea madhabahuni akisema "Mwaka huu hatupo tayari kwenda mbinguni?"
Watu wanavaa hijab ambazo ni blood stained.

Waziwazi Rais wa nchi anathibitisha kuwa yeye ni mshirika wa.mauaji ,utekaji,ubakaji wa demokrasia,mla rushwa namba moja.

Anguko lake ni baya sana na atadondoka mdomo wazi.period
 
Cha ajabu vikosi vya kijeshi vya polisi vikatumwa kanisani kubughudhi waumini. Ama kweli siku hizi watu wamemzoea Mungu na kumuona ni babu yao na hawana hofu naye!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Sisi kama waislamu tunamuunga mkono Mama Samia iwa sbbnndo muislam mwenzatu.Kafanya vzirui kuteka na kuua wapinzani wake wa kisiasa ambao wenginni wakrisitu
Acha kueneza chuki za kidini. Hakuna muislam yoyote anayetetea swala la watu kutekwa, wote tunapinga.
 
Gwajima angekemea utekaji bila kumshambulia Rais na vyombo vya usalama yasingemkuta yote haya. Mbaya zaidi akatumia kanisa lake kupiga propaganda za kisiasa na vitisho. Kajilipua kijinga mno. Acha DOLA imshikishe adabu.
Frelimo ya msumbiji Chini ya samora machels huyu jamaa alikuwa MKOMUNIST.

ALIPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZOTEE ZA KIDINI NCHINI KWAKE NA IKAWA UKIKUTWA NA KIJI BIBLIA, QURAN AMA KARATASI CHOCHOTE KILE CHA MAFUNDISHO YA DINI YOYOTE ILE UNAFUNGWA/ UNASWEKWA GEREZANI MIEZI SITA JELA WITHOUT TRIAL HAPA BROTHER ANGU Kiranga bila shaka hapo anaungana na samora machels

YUPO WAP SAMORA MACHELS? LEO ALIFARIKI KWENYE NDEGE ILIYO TUNGULIWA IKAWA MWISHO WA FITNA PIA HATA SISI MWISHO WA FITNA IS COMING SOON HUYO NI MMOJA TU KUNA KINA HERODE, FARAO NA WAFALME NA MARAIS LEO HII HAWAPO SO MJIBUNI GWAJIMA SIO KUSUMBUA WAUMINI WAKE
 
Kosa ni kusema ukweli nyuma ya mikamera kuhusu watekaji
 
Sasa unataka kutuangusha mkuu! Mpaka sasa hujajua?

Ngoja nikusaidiee buree:
1. Kumtolea mfano mtoto wa mkubwa
2. Kuandaa program ya kumwombea Tundu Lissu
3. Kushauri utendaji wa vyombo vya dola usiingiliwe na watawala
4. Kuongea yasiyovutia kwa "Chama "
5. Kukataa kuwa chawa
6. Kuwa na akili inayofanya kazi
7. Kulia na wanaolia
 
Kuukataa mfumo wa unyumbu wa kisiasa
 
Gwajima angekemea utekaji bila kumshambulia Rais na vyombo vya usalama yasingemkuta yote haya. Mbaya zaidi akatumia kanisa lake kupiga propaganda za kisiasa na vitisho. Kajilipua kijinga mno. Acha DOLA imshikishe adabu.
Kwanza kabisa, kumshambulia rais ni haki ya kikatiba.

Pili Gwajima hakumshambulia rais, rais ndiye kamshambulia Gwajima baada ya Gwajima kukemea utekaji.

In fact Gwajima alitakiwa kumshambulia rais zaidi, sasa hivi anaremba sana kusema CCM si chama cha watekaji, kusema anamuombea Samia, kusema Polisi si watekaji. Anaremba sana hajapiga inavyotakiwa.

Hilo la rais kumshambulia Gwajima maana yake ni kwamba rais anabariki utekaji.

Unaposema acha dola imshikishe adabu Gwajima, unaonesha ujinga kwamba huelewi kuwa katika nchi ambayo kutekana na kuuana ni kitu cha kawaida, hata wewe unaweza kutekwa na kuuawa, hata kwa mistaken identity tu.
 
Mkuu unabishana na robot 🤖 ambalo lipo kazini 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…