MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,204
- 43,735
Kwa nini na wewe usijitokeze hadharani na kutamka kuwa mama ni mtekaji?Hizo elfu 7 mnazopewa per day zinamwishoo wake,huwezi kukemea utekaji alafu usimtaje mtekaji,na huyu mama hamumsaidii mnazidi kumuumiza maskini mpka namuonea huruma,vijana na nyie mnatumika kama pawn ♟️ tu
Kanisa kwa serikali ni kama taasisi zingine zilizosajiliwa... sio kitu kizito hivyo mnavyodhani.Kwanin asikemee utekaji wakati wenye mamulaka na dola wamejaa kimya Huku wananchi wakuwa wanataharuki kubwa,kazi ya kanisa mmojawapo ni kukemea maovu kwenye jamii.
Umenifungua kituUtakubalije maombi wakati unakunywa damu za watu.
Huyo mwanamke hana tofauti na mchawi. Kwao damu kumwagika wanashangilia.
Ww ndio unaakili ndogo mxiuuuuu, chawa mkubwaaa vunza ngoja nikutumbue nikusigine mxiuuuuKama una akili ndogo huwezi kuelewa.
Keyboard warrior detectedWw ndio unaakili ndogo mxiuuuuu, chawa mkubwaaa vunza ngoja nikutumbue nikusigine mxiuuuu
Hakika yake km Mungu aishivyoKosa la gwajima ni kuwa kenge,but ngoja tuone hadi sasa matokeo ni bila bila.
Hakuna mtawala aliyewahi shindana na kanisa akashinda.
Shindwa na ulegee mbele na nyuma,Keyboard warrior detected
Acha kulialia keyboard warriorShindwa na ulegee mbele na nyuma,
Mbona ht ww ni walewale🤣Keyboard warrior detected
Acha uchawa mpumbavu, kulia ni ishara na maumivu, ndugu zangu wameua niache kulia paka mapepe mkubwa, toka hilooooAcha kulialia keyboard warrior
Naona hapa na udini unahusika sana tuMimi si muumini wa kanisa la ufufuo na uzima wala Gwajima sio role model wangu.. Lakini kitendo chake cha kukemea utekaji wazi wazi na kutaka hatua stahiki zichukuliwe kiliwagusa wengi
Baada ya hapo alipata mashambulizi ya kutosha hasa ndani ya chama chake.. Naye hakukaa kimya bali alirejea na kutangaza maombi kwa wahanga mbalimbali nchini wenye kesi za uhaini, waliotekwa na hata wanasiasa pia..
Maombi yalianza jana na hapohapo ikatoka barua ya kulifungia kanisa lake
Je kosa la Gwajima ni lipi mpaka sasa?
Kukemea utekaji?
Kutaka wahusika watafutwe?
Kuwafanyia maombi wahanga mbalimbali?
Hivi tumefika mahali hata maombi tunayaogopa?View attachment 3354235
Hakuna hata udini, sema tuu kuna baadhi ya mashekhe kama wachumia tumbo hivi, sijui elimu ndogo jamaniNaona hapa na udini unahusika sana tu
Kama hutajali shehe wangu, naomba unijibu ni wapi kamshambulia Rais?Gwajima angekemea utekaji bila kumshambulia Rais na vyombo vya usalama yasingemkuta yote haya. Mbaya zaidi akatumia kanisa lake kupiga propaganda za kisiasa na vitisho. Kajilipua kijinga mno. Acha DOLA imshikishe adabu.
Angefanya hivi unavyopendekeza, asingekuwa ameusema ukweli kamili...Gwajima angekemea utekaji bila kumshambulia Rais na vyombo vya usalama yasingemkuta yote haya. Mbaya zaidi akatumia kanisa lake kupiga propaganda za kisiasa na vitisho. Kajilipua kijinga mno. Acha DOLA imshikishe adabu.
Kweli kabisa na akili ndogo zaidi ndio huwa ina tabia ya kujiona ina akiliKama una akili ndogo huwezi kuelewa.
kosa la Gwajima ni unafikMimi si muumini wa kanisa la ufufuo na uzima wala Gwajima sio role model wangu.. Lakini kitendo chake cha kukemea utekaji wazi wazi na kutaka hatua stahiki zichukuliwe kiliwagusa wengi
Baada ya hapo alipata mashambulizi ya kutosha hasa ndani ya chama chake.. Naye hakukaa kimya bali alirejea na kutangaza maombi kwa wahanga mbalimbali nchini wenye kesi za uhaini, waliotekwa na hata wanasiasa pia..
Maombi yalianza jana na hapohapo ikatoka barua ya kulifungia kanisa lake
Je kosa la Gwajima ni lipi mpaka sasa?
Kukemea utekaji?
Kutaka wahusika watafutwe?
Kuwafanyia maombi wahanga mbalimbali?
Hivi tumefika mahali hata maombi tunayaogopa?View attachment 3354235
🤣🤣Achana nae chawa huyoShindwa na ulegee mbele na nyuma,
Una uhakika hakuna muislam anayeshabikia utekaji na uuaji?Acha uongo hamna muisalamu anae weza kushabikia utekaji au mauuaji acheni kuchanganya siasa na Dini.
wananchi tuungane tumuangushe huyu mtekajiKosa la Gwajima ni kuusema ukweli ambao watu wote wanaujua lakini hakuna mwenye ujasiri wa kuusema hadharani. Kumuanika mtekaji mkuu ndiyo kosa lake.