(Revised Edition 2010)

S

super j4

Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
11
Points
20
S

super j4

Member
Joined Mar 10, 2011
11 20
iwapendeze ndg zangu, umekuwepo mkanganyiko kuhusu sheria zilizofanyiwa marekebisho 2010 kama zimeshaanza kutumika? kama kuna mtu ana ushaidi kuwa zimeshaanza kutumika anisaidie juu ya hilo.
 
I

IDUNDA

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Messages
458
Points
0
I

IDUNDA

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2013
458 0
binafsi sijaiona. nilikuwa nafikiri bado tunatumia revised edition ya 2002, hata kama kuna vitabu vingine ni revised edition 2009 lakini inayokubalika sana ni hiyo ya 2002. sheria nyingine ambazo zimefanyiwa marekebisho tunazo virakaviraka tu unakuwa nazo separate. kama kuna mtu ameiona hiyo revised edition 2010 nafikiri itatusaidia wengi. nami ningependa kuipata.
 
N

ngumukumeza

Senior Member
Joined
Aug 7, 2013
Messages
113
Points
170
N

ngumukumeza

Senior Member
Joined Aug 7, 2013
113 170
binafsi sijaiona. Nilikuwa nafikiri bado tunatumia revised edition ya 2002, hata kama kuna vitabu vingine ni revised edition 2009 lakini inayokubalika sana ni hiyo ya 2002. Sheria nyingine ambazo zimefanyiwa marekebisho tunazo virakaviraka tu unakuwa nazo separate. Kama kuna mtu ameiona hiyo revised edition 2010 nafikiri itatusaidia wengi. Nami ningependa kuipata.
sheria ya watoto ni r.e 2009
 

Forum statistics

Threads 1,326,838
Members 509,593
Posts 32,236,987
Top