Reverse kuleta shida

Catherini

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
390
148
Kama mwezi hivi au wiki 3, nikiweka gear ya reverse inachelewa kutembea (tofauti na nikiweka D-Drive), nikiongeza mafuta inaondoka kwa kushituka kwa nguvu. Nilipeleka kwa fundi wa 1 akasema kawaida, nikapeleka gereji ingine nikambiwa tujadili gearbox fluid, tukafanya hivo but hakuna mafanikio.

Naomba ushauri kutoka kwa watalaam au wazoefu.
 
Gari yako manual au automatic.!?
 
Moja kwa moja ni automatic mkuu, shida ipo kwenye reverse gear tu. Woga wangu isijeleta shida gearbox nzima
 
Kama mwezi hivi au wiki 3, nikiweka gear ya reverse inachelewa kutembea (tofauti na nikiweka D-Drive), nikiongeza mafuta inaondoka kwa kushituka kwa nguvu. Nilipeleka kwa fundi wa 1 akasema kawaida, nikapeleka gereji ingine nikambiwa tujadili gearbox fluid, tukafanya hivo but hakuna mafanikio.

Naomba ushauri kutoka kwa watalaam au wazoefu.
Gari lako no rav4 kilitime?
 
Pole sana gear box imechoka hiyo... Itaendelea kufanya kazi lakini itakufa tu.
Gears za mle ndani haziumani sawasawa.
Solution funga gear box nyingine halafu uza hiyo gari.
 
Kama mwezi hivi au wiki 3, nikiweka gear ya reverse inachelewa kutembea (tofauti na nikiweka D-Drive), nikiongeza mafuta inaondoka kwa kushituka kwa nguvu. Nilipeleka kwa fundi wa 1 akasema kawaida, nikapeleka gereji ingine nikambiwa tujadili gearbox fluid, tukafanya hivo but hakuna mafanikio.

Naomba ushauri kutoka kwa watalaam au wazoefu.
mkuu hapo shida ni gear box ndani lakini ugonjwa huo unatibika vizuri tuu.usitishwe sana .hapo clutch za revers zitakuwa zimeanza kuchoka.au huwa kuna kuwa na seal huwa zinakauka na kupitisha pressure ya hydrolic.

ila kama utakuwa vizuri nunua gearbox nyingine tuu maana bei yake ni kama laki 3 hivi
 
Pole ndugu hizo ni dalili za gearbox kuaga ynaweza rekebisha ila haitodumu itasogeza siku tu lakini ni bora kureplace maana gharama ya marekebisho inakaribiana na bei ya gearbox.
 
mkuu hapo shida ni gear box ndani lakini ugonjwa huo unatibika vizuri tuu.usitishwe sana .hapo clutch za revers zitakuwa zimeanza kuchoka.au huwa kuna kuwa na seal huwa zinakauka na kupitisha pressure ya hydrolic.

ila kama utakuwa vizuri nunua gearbox nyingine tuu maana bei yake ni kama laki 3 hivi
Huu ndo ushauri wa kifundi. Nice Mr. Lege
 
mkuu hapo shida ni gear box ndani lakini ugonjwa huo unatibika vizuri tuu.usitishwe sana .hapo clutch za revers zitakuwa zimeanza kuchoka.au huwa kuna kuwa na seal huwa zinakauka na kupitisha pressure ya hydrolic.

ila kama utakuwa vizuri nunua gearbox nyingine tuu maana bei yake ni kama laki 3 hivi
Ahsante mkuu, ngoja nitafute ingine
 
Ilishanitokea hyo nikashusha gear box nikabadilisha zile disc ilini cost kama laki 2.5 kuna fundi mmoja maeneo ya sinza-lego pembeni kuna bar hv hatari yule fundi gari ikawa kama mpyaa
 
mkuu hapo shida ni gear box ndani lakini ugonjwa huo unatibika vizuri tuu.usitishwe sana .hapo clutch za revers zitakuwa zimeanza kuchoka.au huwa kuna kuwa na seal huwa zinakauka na kupitisha pressure ya hydrolic.

ila kama utakuwa vizuri nunua gearbox nyingine tuu maana bei yake ni kama laki 3 hivi

Kweli kabisa hiyo ndio sababu
 
uchungu
Fanya uchunguzi utajua
zi gani mkuu wakati mambo yapo wazi kabisaa ? au ww ndio huelewi ni i kinazungumzwa au unaongelea gari automatic huwa inakuwa na option ya kuendesha manually ndio unayozungumzia?
 
Back
Top Bottom