Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Mimi last week nilikuwa pale na nilichukua Annual report yenye hizo taarifa za fedha. Acha uvivu, toka kwenye keyboard ukafuatilie mambo.
Alafu, huwezi kulinganisha PENSION FUNDS na makampuni. They are in two different worlds. Jifikirishe.
Kuchukua taarifa waliyotengeneza wao is one thing...kuwa audited na external auditors is completely another. Kwahiyo lazima kuwe na check and balance....mimi sio mvivu...najaribu kuangalia vitu tka pande zote mbili za shillingi. tatizo la mtu kama wewe ni kwamba unaamini lolote linalokuja mbele yako bila kujiuliza.
NSSF ili hesabu zake ziwe credible lazima zipass external auditors test...vinginevyo ni michezo ya kuigiza tu na mfano mmoja nimekupa ni kuanguka kwa makampuni mengi makubwa ulaya na marekani kwasababu ya kupika data za internal auditing