Wadau, taarifa from well placed source zinaonyesha kwamba recent moves za UVCCM kutoa matamko kadhaa, hasa la kuvunja bodi ya mkopo ni maelekezo rasmi toka juu na kwamba bodi itakapovunjwa au kufanyiwa reshuffle, serikali ya CCM ipate support toka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ambao inawachukulia sasa kama kundi linaloipinga kwa nguvu zote...zaidi ni kwamba kuna nguvu kubwa sana ya pesa inayotumika sasa kuwahonga vijana wanaojiita wanamapinduzi toka vyuo mbalimbali nchini ili waingie kwenye mkakati wa kuchota akili za wenzao kufanikisha lengo la CCM..

Mdau, this is very posible kweli ni scheme ya CCM ila napingana na wewe kuwa ni JK. Kwa maoni yangu, JK is not this smart. Inaonyesha kwenye CCM there is someone very smart. Smater than JK, ila pia UVCCM ni mazuzu kwel!. Wanatumiwa kupinga tozo kwa Dowans as if hawajui hizo ndizo fedha za maandalizi ya 2015!.<font face="Century Gothic">Wadau, taarifa from well placed source zinaonyesha kwamba recent moves za UVCCM kutoa matamko kadhaa, hasa la kuvunja bodi ya mkopo ni maelekezo rasmi toka juu na kwamba bodi itakapovunjwa au kufanyiwa reshuffle, serikali ya CCM ipate support toka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ambao inawachukulia sasa kama kundi linaloipinga kwa nguvu zote...zaidi ni kwamba kuna nguvu kubwa sana ya pesa inayotumika sasa kuwahonga vijana wanaojiita wanamapinduzi toka vyuo mbalimbali nchini ili waingie kwenye mkakati wa kuchota akili za wenzao kufanikisha lengo la CCM..</font><br />
Wadau, taarifa from well placed source zinaonyesha kwamba recent moves za UVCCM kutoa matamko kadhaa, hasa la kuvunja bodi ya mkopo ni maelekezo rasmi toka juu na kwamba bodi itakapovunjwa au kufanyiwa reshuffle, serikali ya CCM ipate support toka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ambao inawachukulia sasa kama kundi linaloipinga kwa nguvu zote...zaidi ni kwamba kuna nguvu kubwa sana ya pesa inayotumika sasa kuwahonga vijana wanaojiita wanamapinduzi toka vyuo mbalimbali nchini ili waingie kwenye mkakati wa kuchota akili za wenzao kufanikisha lengo la CCM..
Msomi hapumbazwi na fedha za kupita, waanze kuboresha na makazini pia.