Chatumkali
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,037
- 458
Sasa unadhani Ngeleja anaweza kukusaidia follow up?Nenda ofisi ya mbunge wakupe namba za Msigwa then uombe akuunganishe.Tahadhari;unaweza ukahariibu zaidi badala ya kutengeneza!Watu siku hizi hawapendi kupelekeshwa na wanasiasa kwenye maamuzi ya kiofisi.