Kuna wakati huwa namhusudu sana huyu jamaa ingawa kuna wakati huwa sikubaliani na mambo au maneno yake,kiukweli Mtikila anajua sana kucheza na akili za watu kiasi kwamba umaarufu wake katika vyombo vya habari haushuki zaidi ya kuongezeka,tusubiri vimbwanga zaidi baada ya leo kwani natumai ataongea tu na waandishi wa habari
Kuna tetesi kuwa aliyekuwa anamdai ni mkewe, i wonder whether that is true.Mi huyu mtu namwogopa kwanza wapi umeona mtu anahukumiwa alafu analipa akiwa ndani anatoka jamani hii sheria ipo ...mmhh siwezi kujua...rev...chriss we noma yaani nakupa kumi mikono yote huko mahakamani najua mahakimu wakikuona wanaomba kwenda toilet kwanza
Mtikila kapata wapi pesa hizi zote kwa kipindi kifupi hivi?
Nakumbuka mambo mawili tu ambayo yananifanya siku hizo kumpuuza kabisa huyu mchungaji.
1. Alipolamba pesa ya fisadi. Alikwisha ingia katika mtego wa RA, kamwe siwezi kumwamini.
2. Alipokiri hadharani kutumiwa na ccm kuimaliza Chadema Tarime, kwa kuzua madai ya uongo. Hata kama aliomba radhi lakini si mtu wa kuaminika tena.
Mimi ningependekeza watanzania wampuuze, kwanza hana mvuto tena wa kisiasa, si mwanamageuzi tena, ameishiwa.
nakumbuka mambo mawili tu ambayo yananifanya siku hizo kumpuuza kabisa huyu mchungaji.
1. Alipolamba pesa ya fisadi. Alikwisha ingia katika mtego wa ra, kamwe siwezi kumwamini.
2. Alipokiri hadharani kutumiwa na ccm kuimaliza chadema tarime, kwa kuzua madai ya uongo. Hata kama aliomba radhi lakini si mtu wa kuaminika tena.
Mimi ningependekeza watanzania wampuuze, kwanza hana mvuto tena wa kisiasa, si mwanamageuzi tena, ameishiwa.