vipi mtumishi sadaka za chenjichenji unapokea au?
mpangalio wa ukaaji kanisani ukoje,makabwela utatusweka nyuma mbele uwaweke wenye kutoa sadaka nono.
nauliza tu mtumishi ili nikija chechi kwako nisijekiuka utaratibu bila kujua ukaniona mpinga jehova bure.