bila shaka imetoka kwa shimbo
check me down..SI Ivuga
ruhusa kwa wasichana tu...nilikuwa natafuta thread yake ile ya kuhusu really situation inayonukia kutokea Tanzania..tunangojea kipenga tu sasa hiviLeo unamfufua huyu mzee wa watu usiku wa manane?
P.S kwa lugha ya mtaani hapa una maanisha unatoa ruhusa?
ruhusa kwa wasichana tu
hahah..siwezi kui accept...hahhahahlabda uweke binti mwingine kabisa hapo utanipata au kama huamini angalia hapa characters zetu ndio hiziHahaha..ngoja ni sign account ya FB na jina la demu na picha na weka ya porn star mmoja hivi halafu nakutumia friend request.
hahah..siwezi kui accept...hahhahahlabda uweke binti mwingine kabisa hapo utanipata au kama huamini angalia hapa characters zetu ndio hizi
https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/162019-wangoni-wana-matatizo-gani.html
hahahha... mimi nina id moja tu hapa.. huwezi ku conect dot zozote ukaja na id nyingine inayofanana na SI IVUGA..kumbe wewe unawapa wanawake id zako? hii ni hatari jamani ndio maana nchi inayumba kwa sababu akili zote za ccm ndio kama hizi zako ..Nyumbi hii bombi hii lazima utaingia line na utatoa password zako zote za ID zaidi 20 unazomiliki hapa.
ndio maana nchi inayumba kwa sababu akili zote za ccm ndio kama hizi zako ..
nitajie maendeleo gani ambayo ccm mnajivunia ndani ay hiyo miaka 50..kitu gani ambacho mmekifanya ambacho watanzania wote wanafurahi nacho kuanzia mjini hadi vijijini..Nchi inayumba wapi bana, tumeiongoza nchi hii kwa uadilifu kwa miaka 50 tena tumepiga hatua kubwa sana kimaendeleo na wewe unalijua hilo, hii yote ni uongozi uliotukuka na uadilifu wa Chama Cha Mapinduzi,
hakuna na huwezi kunithibitishia ..utaishia kubwabwaja tu hapa
Friends
Nimepokea hii mail hapo chini! Nimeshinda pesa mingi sana na sasa najiandaa kushusha kanisa la kisasa Tanzania. Hebu someni wenyewe
Mch Masa.
THE COCA COLA COMPANY
PROMOTION PRIZE AWARD
DEPT COCA COLA AVENUE
CARGO AREA, JERSEY
United Kingdom
THE COCA COLA COMPANY OFFICIAL PRIZE NOTIFICATION
Dear Rev. Masanilo Kugema,
We are pleased to inform you of the result that just concluded annual Queen Elizabeth the II Coca Cola promotion final draws held on the (29th July, 2010) by Coca-Cola in conjunction with the American Tobacco Worldwide Promotion, your email was among the ten (10) lucky winners who won Five Hundred Thousand Great Britain Pounds (£5 00,000 GBP) each on the COCA COLA COMPANY PROMOTION.
However the results were released on the (10th August 2010) and your email was attached to ticket number (4FKAW2006) and ballot number (BT28142006/22). The online draws was conducted by a random selection of email addresses from an exclusive list of 29,031 E-mail addresses of individuals and corporate bodies picked by an advanced automated random computer search from the internet. However, no tickets were sold but all email addresses were assigned to different ticket numbers for representation and privacy.
In other to claim your Five Hundred Thousand Great Britain Pounds (£5 00,000 GBP) prize winning, which has been deposited in a designated in ELITE COURIER COMPANY. However, you will have to fill the form below and send it to the Promotion manager of THE COCA COLA COMPANY for verification and then you will be directed to the financial security company where your prize money of Five Hundred Thousand Great Britain Pounds (£5 00,000 GBP) has already been deposited in your favor.
Contact the Regional Official Agent via email with the information below:
NAME: Mr. Terry Desmond
E-MAIL: info.mrdesmondofficedep@yahoo.com.hk
Tel: +44 704 574 8158
To avoid unnecessary delays and complications, you are to contact Mr. John Desmond with followings details below:
NAME:...................................
AGE:.....................................
SEX:.....................................
ADDRESS:..............................
EMAIL:..................................
PHONE:.................................
OCCUPATION:........................
COMPANY:.............................
NATIONALITY:........................
COUNTRY:.............................
Congratulations, once more from all members and staffs of this program. Thank you for being part of our promotional lottery program.
TEAM.
Sincerely,
Mrs. Susan Race
(Zonal Co-ordinator)
CONGRATULATIONS TO YOU!!!!!!!!:
**COCA COLA WORLDWIDE PROMOTION!!!**
msimu huu laizma nikutafute, napenda mambo kama haya, c unajua mkono m2pu haulambwi?