Rev Masanilo Won £ 500,000

Rev Masanilo Won £ 500,000

Yaonekana Rev unabahati ya kutapeliwa...kemea haraka pepo wa kutapeliwa ashindwe
 
Hebu wasiliana na Msanii tupate viwanja!
Ushindwe.
Kwanza cocacola hawatumii accounts za yahoo, hotmail wala jf.
umelizwa ukiwatumia details zako, na utakuja hapa ukilalama kuwa huwezi kuaccess emails zako na akaunti zako zimekaushwa....
 
Rev amini nakuambia hakika hiyo haina tofauti sana na yale ya Mkuranga
shekhe.
ikithibitika kuwa mkuranga hakujafanyika utapeli utakuwa tayari kuomba radhi?
 
Ushindwe.
Kwanza cocacola hawatumii accounts za yahoo, hotmail wala jf.
umelizwa ukiwatumia details zako, na utakuja hapa ukilalama kuwa huwezi kuaccess emails zako na akaunti zako zimekaushwa....

Wewe nakuaminia sana ! Kwa hiyo huu ni Usanii? Ngoja niwajibu nami kisanii naweka kila kitu kisanii...Asante Msanii
 
Dear Rev am writting in English for the first time in JF to show my concern on UTAPELI SAGA going on world wide and Mkuranga in particular. Rly painful dont fall in that trk even some JF members are champion and pioneers in that prominent field. I wish to proceed writting in English but I have forgotten the vocabularizi
 
Back
Top Bottom