Retrenchment huko TBL pengine hiki ndio chanzo?

Tunashabihiana kwenye hii falsafa yako hapo juu mkuu ntafurahi kama utakuwa una binti nije nioe kwako aisee,itakuwa ni faraja sana kuwa na baba mkwe kama wewe,hata kama ndoa itakuwa ya bomani freshi tu.
Hahaha, umezibuka.

Mimi sina binti hata wa kusingiziwa.
 
Shida yetu watanzania tumeweka siasa mbele kuliko umoja wetu na manufaa ya nchi.unakuta mbunge anakubali au anakataa kwa msimamo wa chama bila kuangalia maslai ya nchi.
Ndio shida iliyopo ,ccm wanaua nchi......nchi za wenzetu walioendelea wanafanya kazi 24/7 hakuna kulala.
 
GUEST ZINAFWATAAAA KUANZIAA SATISA KAZIKAZIIIII

MTAJENGA MAKANISAA HIZO BAR ZENU AMKUELEWA EEEEEEH
 
MKUUU

WAMELAMBA DADA YANGU NA BFRIEND WAKE WALIKUWA NJIAN KUOANA SIJUI TENA KAMA NDOA IPO TENA NIMESHAURI FAMILIA WASIKODISHE CHUMBA CHAKE KABISA LOH
 
Mpaka upewe taarifa rasmi wewe ni waziri wa mipango, fedha, viwanda, waziri mkuu au makakamu wa rais? Jitaje ili tukujuwe.
Ataje kiwango chake cha elimu asijekua ni mvuvi kama yule aliepewa ugavana wa bandari ya salaam
 
Waungwana tumekuelewa Mkuu!!


Humu jukwaani kuna watu type zote.
 
Bia inasaidia nini Kunywewa mchana zaidi ya kupoteza nguvu kazi mchana?
 
Wacha kunifananisha na vitu vya kijinga.

Siku nitakayoacha mlango wazi makusudi ukute nimemuinamisha Mama yako namfirigua doggystyle ndiyo utakaponipa heshima yangu baba yako wa kufikia.
Duh..! Ngoja nipite kimya
 
Wacha kunifananisha na vitu vya kijinga.

Siku nitakayoacha mlango wazi makusudi ukute nimemuinamisha Mama yako namfirigua doggystyle ndiyo utakaponipa heshima yangu baba yako wa kufikia.
Wewe ni mwendawazimu kichaa
 
Niliwahi kusikia wamiliki walibadirika kutoka South African to USA. Ile Sijui SBL ambao ndio wamiliki kwasasa ni wa U.S. Nanimewahi kusikia wamarekani huwa hawatoi pesa hovyo hovyo wanamsemo wao eti "No Free Money".
nasikia baada ya kuichukua walianza kufanya accessment ya Wafanyakazi vs productivity. Waligundua kulikua nawatu wengi ambao job descriptions zao zilikuwa hazieleweki, na kulikua na free riders wengi sana kwenye kampuni. Yani kazi na majukumu yalikuwa yanaingiliana sana kati ya mtu na mtu, wao wakataka kuwe na clear dermacation ya kazi za Asha na Kizigo. Mwisho wakagundua kuna miwatu mule imekuwa ikilipwa tu hakuna kazi yanafanya. wakaja na retrenchment.
hata kama mauzo yangebaki kama yalivyokuwa zamani kabal ya awamu ya Tano, wangefanya hivi wanavyofanya leo.
tatizo letu watanzania tumezoea kuomba kazi hata kama hazipo au hazijatangazwa na tunapata, leo kaja anayejua kumanage kazi, wafanyakazi na pesa yake tunalialia na visingizio viingi, Mara awamu ya tano, mara kufunga Baa saa tano.
Jamani KAMA TUNATAKA MAENDELEO, TUJIFUNZE KANUNI ZA MAENDELEO PIA.
Kazi ya mtu mmoja ifanywe na mmoja, kusiwe na layer nyiingi za watu wanlipwa tu, na kazi hawafanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…