retired sister nipo hapa

Status
Not open for further replies.
dah retired sister jamaa kakosa uhondo unaoneka uko hot km hot shower! Kweli jamaa hana bahati.
 
Naskia mchina kaleta bajaj na baskel za angani

Sio mchina peke yake, kwenye moja ya vijiji huko Kenya kuna kijana kaunda helkopta ila kazuiliwa kuirusha mpaka mamlaka husika iikague. Ila ina uwezo wa kuruka umbali wa futi 6 tu kwenda juu! Kwa hiyo mabilionea na mapilot lazima wataongezeka.
 
He he he, nikutane na wewe uje unitundike hapa mewata zangu zilivyoning'inia?

He he he, umbea nafanya kama hobi

hiv unajua unatishia cheo changu cha umbea siku hizi!
na ukiaa vibaya naweka picha yako,ulivonikimbia siku ile marry brown mi nataka???
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…