retired sister nipo hapa

Status
Not open for further replies.

Mmmmh! hii kali
 
Last edited by a moderator:
Black umecheza patapotea..umemuachi classment abebe pilot hiiiiiiivvvvvi hiiiiivvvvi.
 
Aaah, mwaJ weee, upo mtoto?! Kwa nini mimi na wewe tusikutane Steers ili na sisi tuje tutoe show kama hili hapa jamvini?

We utajifanya ulikuwa nje unasomea Unahodha wa meli ili tusirudie yaliyokwisha semwa

Ha ha haaaa haaaa! Tusikutane Steers bana, hapo pameshapitwa na wakati show haitapendeza! Tukutane Akemi. Lakini na wewe usitokee TMK tokea sehemu nyingine ila iwe matawi. Ila show letu lazima litawaliwe na picha.
 
Black umecheza patapotea..umemuachi classment abebe pilot hiiiiiiivvvvvi hiiiiivvvvi.

Pilot gani .. Ndege si itadondokea mbele kwa kukosa balace... Halafubpale mbele pilot si atajaa .. Kwanza ma pilot hawatakiwi wawe hivi wanatakiwa wasiwe na miili ya presha na bp... Bora classmet abebe tu.
 
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
jamani!
 
Pilot gani .. Ndege si itadondokea mbele kwa kukosa balace... Halafubpale mbele pilot si atajaa .. Kwanza ma pilot hawatakiwi wawe hivi wanatakiwa wasiwe na miili ya presha na bp... Bora classmet abebe tu.



We si umepewa ruhusa ya kuweka picha ?? Mbona hujiamini ? Weka hapa tuthibitishe kama ni mzuri au wewe ndio una makengeza . Acha malumbano leta uthibitisho .
 
Dada uyoooo anaolewaaa dada uyoooo anaolewaaa.....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…