Rest in peace.

Rest in peace.

Ance4

Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
16
Reaction score
2
Poleni walimu, viongzi wote wa TYCS na wanafunzi wote shuleni mwakaleli kwa kumpoteza mwanafunzi mwezetu Raphael Mathias, mwenyekiti sherehe mstaafu, Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi Amina. kwa niaba ya viongozi wastaafu 2009-2010.
 
Poleni sana wahusika..
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali
Pema peponi ..
 
Duuuuh poleni sana wahusika wote wa msiba kwa ujumla wake. RIP mwenyekiti.
 
We loved him but God loved him more, R.I.P The dead will never come back!!!! thanks members of JF.
 
Mungu aipokee roho ya marehemu na kuiweka mahala pema peponi.
 
Poleni wakubwa. Amefariki akiwa mdogo sana...
 
Back
Top Bottom