TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Nafikiri zamani na sasa hivi.. tofauti ya kupata resources ( material ).. sasa hivi kuna Youtube na platform kibao.. mtoto ana smartphone kila kitu anapata, ila zamani enzi zetu kupata nelkon and parker ni shughuli.. walimu wachache .. ila sasa hivi waaingia youtube kila kitu kimo
2000-2016 una uhakika hayo unayoyasema hayakuwepo?
 
  • Thanks
Reactions: K11
Na hakika mkuu, ukuaji wa Technology na hizi platform miaka ya nyuma ilikuwa changamoto sana , hata gharama ilikuwa juu.. internet.. hizo smartphone, ipad na laptop ukilinganisha na sasa hivi.. huwezi linganisha mazingira ya 2004 na 2013.. kuna shift kubwa sana
Elimu ya secondary O level umemaliza mwaka Gani?
 
Bado hatujaacha ujinga wa kujisifia Elimu ya kwenye makaratasi? ubora au ubovu wa elimu ya leo na maisha kwa ujumla ni matokeo ya hizo elimu za 1990's na early 2000's
 
Mkuu saint anne unajuaga kwa hili unanifanya nicheke sana.
Mkuu maghayo nje ya mada naomba kuuliza hivi unapokua unataka kwenda nje ya nchi je inawezekana mwenyeji wako kule ulaya akakuombea yeye visa? Kwa maana akafanya process zote yeye mwenyewe kule kule badala ya ww kuomba huku. Nikilenga kwamba akiomba yeye kulekule inakua rahis kuliko akituma mwaliko kufuatilia ubalozi wa nchi husika huku bongo
 
Back
Top Bottom