Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 9,401
- 13,438
2000-2016 una uhakika hayo unayoyasema hayakuwepo?Nafikiri zamani na sasa hivi.. tofauti ya kupata resources ( material ).. sasa hivi kuna Youtube na platform kibao.. mtoto ana smartphone kila kitu anapata, ila zamani enzi zetu kupata nelkon and parker ni shughuli.. walimu wachache .. ila sasa hivi waaingia youtube kila kitu kimo