Rest In Peace Prof Leonard Shayo

hizi habari zimethibitishwa jamani??maana mie nashangaa watu tunavyokimbilia kutoa salamu za rambi rambi na kuanza ku mdiscuss (kama ilivyo kawaida yetu) what if ni just tetesi wandugu?

lets not just rush kabla ya kuhakikishiwa juu ya hizi habari
 
Nambari yake ya simu ni 0754 288179. Jaribuni kumpigia kama anapatikana

PM

jamani si nliwahi kusoma mojawapo ya rules za humu ndani tusitoe namba au any detailz za mawasiliano za mtu wazi wazi??

sio tu sheria za jf but ni sheria kila uendako bandugu!sio fresh hivyo!

meanwhile lets wait kuthibitishiwa hizi habari
 
Mbona nyumbani kwake kupo kimya?? kuna mtu yupo pale karibu na anapoishi nilijaribu kumuuliza akasema kuwa haoni dalili za msiba kabisa sasa sijui, ila pia nimesikia taarifa hizi kwa mmoja wa watu wa karibu ambaye naye alishindwa kunihakikishia akasema ngoja ahakikishe kwanza then atanialert
 
Bwana alitoa, akatwaa, ametoa tena, Tumsifu Yesu Kristu, Amina

duh wajimini!!

kweli JF kiboko!

mlioko bongo ina maana habari nzito kama hizi za mtu ambaye angeweza kuwa rais wetu hazijatangazwa popote toka hii thread ianzishwe?
 
jamani si nliwahi kusoma mojawapo ya rules za humu ndani tusitoe namba au any detailz za mawasiliano za mtu wazi wazi??

sio tu sheria za jf but ni sheria kila uendako bandugu!sio fresh hivyo!

meanwhile lets wait kuthibitishiwa hizi habari

Namba ya Rais Jakaya Kikwete ni 0754777777. Zilikatazwa namba za members humu na namba za watu ambao wanataka namba zao ziwe siri. Kikwete alisema namba yake inafahamika. Na Profesa Shayo namba yake ni public. Naomba mtu apige simu kuthibitisha. Si unakumbuka lile jibu la Waziri mmoja wa zamani alipopigiwa simu baada ya kuzushiwa kuwa amekufa?

PM
 
jamani si nliwahi kusoma mojawapo ya rules za humu ndani tusitoe namba au any detailz za mawasiliano za mtu wazi wazi??

sio tu sheria za jf but ni sheria kila uendako bandugu!sio fresh hivyo!

meanwhile lets wait kuthibitishiwa hizi habari

Nakubaliana na wewe Ila kunatakiwa kuwe na exemptions Kama ukisemekana umefariki halafu watu hawana uhakika ni vema kutoa namba ili watu wathibitishe na kuanza kukuombea na kukutakia mapumziko ya amani, na kama siyo tukupe pole ya kuzushiwa. Na hii ni one of the Exemption so, hakuna kosa hapo.
 
RIP Prof Leonard Shayo. Poleni mliofiwa na mpendwa wenu.

TBC1 walitoa habari hii. Amefariki akiwa na miaka 60.
 
if Tbc1 wametangaza then RIP PROf......
BWana alitoa na BWana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe!
mwenzetu katangulia nasi tutafuata,tutengeneze njia zetu ziwe za lami kusiwe na makorongo ili tuje enjoy safari
 
RIP Prof Leonard Shayo. Poleni mliofiwa na mpendwa wenu.

TBC1 walitoa habari hii. Amefariki akiwa na miaka 60.

RIP Prof Leonard Shayo. Ulikuwa kichwa hasa katika Idara ya Hisabati, Tutakukumbuka kama Mmoja wa wahadhiri wachache UDSM wasiopenda makuu na kushindana na wanafunzi, ulikuwa tayari kuwapa A darasa zima mradi tu wafanye mtihani jinsi unavyofahamu wewe.
 
RIP Prof Leonard Shayo. Poleni mliofiwa na mpendwa wenu.

TBC1 walitoa habari hii. Amefariki akiwa na miaka 60.

Duuuh!, haya katangulia "tupo nyuma twaja". Nakumbuka madesa yake kwenye "MT266 - Rigid Body Mechanics 1"
RIP Prof Leonard Shayo
 
r.i.p prof shayo...huyu ni kati ya watanzania waliokuwa na akili sana na muumini wa kweli wa ujamaa...alikuwa rafiki na mfuasi mkubwa wa philosophy za mwalimu,naye pia alikuwa na philosophy zake[someni makala zake mwananchi zinabeba ujumbe yeye ni nani na anatetea nini...,alikuwa mtunzi mahiri wa sera vile vile,hakuwa muumini wa mali]

idea ya kuwa na kijiji cha sayansi na teknelojia ilikuwa ya mwalimu...na prof shayo alikuwa archtect wa ule mradi......aliweka kila kitu..na kuweka mikakati...

lengo la mradi wa kijiji cha sayansi na teknelojia ilikuwa kuchukuwa watoto wenye vipaji maalum tanzania na kote afrika [duniani]...na kuwalea tangu wanakuwa wadogo...katika mazingira ya kisomi...hadi chuo kikuu .nadhani mwalimu alikuwa anaota kuwa na vijana wanaoweza kuja kubuni NASA tanzania au hata kuajiriwa huko.

mradi ule ulikufa na mwalimu...mkienda pale tume ya sayanzi...na wizarani..wamebaki na maandishi ya prof shayo ,ramani etc....

cha kushangaza south africa wamekuja na idea kama ya mwalimu na prof shayo na inakata mbuga...na tayari wamepewa eneo arusha wajenge tawi...kitaitwa NELSON MANDELA ..ACADEMY....

HUYU MUHASHIMIWA ALIKUWA MWANASAYANSI..LAKINI PIA ALIKUWA NA AKILI ZA ZIADA ALIZOAMUA AZITUMIE KUAMCHA WATANZANIA ........SIASA ALIKUWA ANAFANYIA WITO AU HOBBY!!
 
The death iof this Maths professor turned politician is a great loss to our nation; he was not only knowledgeable but also a gallant man.REST IN PEACE dear Prof.
 
Back
Top Bottom