Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,800
- 34,189
Atafufuka lini tenahuyo atafufuka tu
Na jina kabadilishwa kweli anarudi?Soon atarudi, alimpa mkataba kwa miaka michache tu Microsoft
Hahahahaha...umekumbuka M city nn?singida hawajambo?mie nikajua yule Nokia ngapi member wa jf
wazima kabisa,Hahahahaha...umekumbuka M city nn?singida hawajambo?
Nokia hawezi akawa amekufa kizembe namna hiyo... Hii picha ni edited. Na hii taarifa ni ya kizushi. Over.
Basi sawawazima kabisa,