Rest in peace tata
musoma moja?
Eti kuna mtu kaandika kwenye mtandao mmoja
Rest in peace mandela i like ua movie so much ooh god what happen in hollywood all good actors died
Bila shaka alijua idris ndo mandela aliyekufa lols
aisee amekurupuka huyo
Eti kuna mtu kaandika kwenye mtandao mmoja
Rest in peace mandela i like ua movie so much ooh god what happen in hollywood all good actors died
Bila shaka alijua idris ndo mandela aliyekufa lols
haaaaa!!! jamani ina maana mandela kafananishwa na huyo mjamaa?
hapana, that dude did makusudi!
ujue palipo na wengi hapakosi mengi!
alijifanya hamjui mandela eti ye alidhani aliyekufa ndo aliye act
haya bwana!! by the way, usingizi umeupeleka wapi leo?
Mungu amlaze mahali pema peponi baba yetu Madiba.