REST IN PEACE Muammar Gaddafi killed in gun battle

REST IN PEACE Muammar Gaddafi killed in gun battle

Ni funzo kwa tz hakuna atakayewapa aziwa na asali ni walaghai tu na waongo wakubwa
 
imeletwa ili kupima kiasi gani binadamu tulivyo hypocrite.
wakati gadaff anazokomezwa majiti makalioni na walibya na hatmaye kuuwawa kifo cha aibu,wengi wetu tulifurahi .
leo baada ya kuona mambo yanaiendea kombo libya bila gadaf,tunajifanya kusikitika.
ama hakika "ubinadamu kazi".
Majuto mjukuu huja kinyumeeee.
 
In this fierce world where the big nations want to chew up small nations esp mataifa yanayojijenga na yenye resources za muhimu kwa mustakabari wa dunia, dictatorship inahitajika.

If you ask me nadhani Gadaffi was the kindest of all the leaders from that part of the world na walibya walionewa wivu na watu wa nchi nyingine lakini hawakutambua hilo.
 
He had in his hands the power to control his destine by avoiding being arrogant and take the place of Libyans by force, in the decision making process. Tunavuna tunachopanda...na kikulacho ki nguoni mwako. Tunasikitika sababu he was an African...but his uncontrollable thirsty for power even with AU had some negative consequences!!
 
Unaweza ukawa unataka madaraka ili kuwaunganisha watu na hili ndio ilikuwa nia yake kwenye AU mkuu, viongozi karibu wote AU hawana nia/lengo la kuwaunganisha waafrika na kuwafanya wenye nguvu kupigania maslahi ya bara Lao! Unaona Wazungu walivyomuua ili kuchota mafuta ya walibya kwa kuweka vibaraka wao Libya na kuzima ndoto zake za kuunganisha waafrika kitu ambacho wazungu hawatataka kitokee. Wazungu nuksi sana.
 
Back
Top Bottom