REST IN PEACE Muammar Gaddafi killed in gun battle

REST IN PEACE Muammar Gaddafi killed in gun battle

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
Muammar Gaddafi killed in gun battle

katika picha akiwa anavuja sana damu na kwenye ilo shimo ndo alikokamatiwa.

296610_10150339685611017_284689020_n.jpg
 
Apumzike kwa amani shujaa huyu wa Afrika God plz we hope copacetic measures will be taken against those mediocres who murdered Colonel Ghadafi.
 
Sasa! mbona hii mada ilishatoka unatukumbushaaaa au unatuambia?

imeletwa ili kupima kiasi gani binadamu tulivyo hypocrite.
wakati gadaff anazokomezwa majiti makalioni na walibya na hatmaye kuuwawa kifo cha aibu,wengi wetu tulifurahi .
leo baada ya kuona mambo yanaiendea kombo libya bila gadaf,tunajifanya kusikitika.
ama hakika "ubinadamu kazi".
 
fundisho tosha hili!walibya waliaminishwa kuwa Gaddafi akitoka madarakani watakuwa taifa tamu mno sasa imekuwa kinyume na matarajio yao !
 
And the people of Libya will suffer and perish for generations because of this atrocity. Since when does a Westerner love another people more then their leader loves them?

Wafe kama nzi tu hao wa Libya!
 
Alikufa kifo cha aibu sana! Japo walibya hawakumwelewa lakini yeye alikuwa anajua ana wafanyia nini ! naona wanajuta sasa
 
R.I.P Muammar, wabongo tujifunze kwa makosa yao....... Iondoeni CCM madarakani mtajuta.........!
 
Hawa hawakujua nia ya Wazungu ni nini? aliwafanyia mengi Walibya walewa wakadhani hayuko sahihi, sasa damu iliyomwagwa ni laana kwao na hawatakaa waishi maisha kama walioyokuwa wanaishi enzi zake. hii pia ni pamoja na Sadam Hussein kule Iraq tangu wamemwondoa na kumnyonga nchi haikaliki tena, wale waliosema ni dikteta anaua watu wake vifo baada yake vimekuwa zaid mara 1000% kama alikuwa kweli anaua watu 5 sasa ni watu 5000 kwa mwaka
Alikufa kifo cha aibu sana! Japo walibya hawakumwelewa lakini yeye alikuwa anajua ana wafanyia nini ! naona wanajuta sasa
 
Back
Top Bottom