Nami nimelishangaa hilo, kwanini asingeweka angalau link ili wahusika waende huko kuliko kuanika namba zao namna hiyo!!Mwanga wa milele umuangazie...apumzike kwa amani.
Ila kuweka namba za simu za watu hadharani naona hujawatendea haki kabisa na sidhani kama wana taarifa kuwa umewaweka hewani hapa JF
ok sawa mkuu, ila jua kuwa hatuwezi kujaa wote kwenye hilo group la watu 250.Alikuwa anaumwa Mkuu, ingia Kwene group utapata details zaidi,
Mniwie radhi wakuu,nimejiyahidi kuziwekea vivuli imeshindikana,naomba mods wanisaidie kuondoa image yenye namba za SimuMwanga wa milele umuangazie...apumzike kwa amani.
Ila kuweka namba za simu za watu hadharani naona hujawatendea haki kabisa na sidhani kama wana taarifa kuwa umewaweka hewani hapa JF
Kupata zero ni kesi ya kuhukumiwa kifo?kila mtu yuko kwa kusudi la aliyemuumbaDah chama langu boyzia nimemaliza 2003 PCM. Majitu yenye akili yanatangulia yaliyopata zero yanadunda kitaaa....kweli Mungu ndiye anayejua siri ya yote.
Amesoma Tabora boys advance kuanzia 2007 to 2009 ndio akaingia top ten from PCM.Ila olevel kasom iyunga tech mbeya 2003-2006Duh,nimekuwa Tabora School 2000-2003 O-Level and most of my friends been there up to 2006.
Imeniuma as if i personally knew this young bro..au nina ushuleshule
M.A.P Frank
Masahihisho T. O 2009 FORM SIX PCM alikuwa ni Aude Kileo.Aliyewahi kuwa Tanzania One Form six 2009 PCM toka Tabora boys Frank Shega,amefariki Dunia,kwa wale waliosoma Iyunga sec2003 Mpaka 2006,na Tabora boys 2007/2009 sio mgeni kwao,juhudi za kuchangisha kwa ajili ya Rambi Rambi zinaendelea katika group la WhatsApp 0713 268 218 wasiliana na admins wa group kupata taratibu zaidi za mazishi