Rest in peace Aaliyah

Mkuu mazingira yanajionesha kabisa hapo sijuwi aliwaudhi nini
 
Ngoma Yake Ya Try Again Akiwa na Timberland bado ni ngoma kali katika Maisha Yangu Yote.. Na Hata nikicheki Movie Ya Jet Lee Ya Romeo must Die najikuta nikisikitika sana
 
huyu si yule wa the bodyguard from beijing ?
 
Umenikumbusha mbali na nyimbo zake.

Mungu azidi kumpumzisha pema peponi.
 
Ngoma Yake Ya Try Again Akiwa na Timberland bado ni ngoma kali katika Maisha Yangu Yote.. Na Hata nikicheki Movie Ya Jet Lee Ya Romeo must Die najikuta nikisikitika sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…