ighaghe
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,365
- 3,302
Haya mawazo yako hayawezi kuwa sahihi kwa kila mtu. Yanaweza kuwa mawazo sahihi kwenu, au yalikuwa sahihi kwa familia yako au ndugu zako au rafiki zako lakini usifikiri yatakuwa sahihi kwa kila mtu.
Mfano mwanamke wako amekushauri mfungue akaunti ya akiba kuwekeza kwa ajili ya watoto ada chuo na akakupa mfumo mzuri wa ni kiasi gani mjibane ili muwekeze halafu usifuate huo ushauri?
Sijui kwanini inspirational speakers mnakuwaga na formula kwenye maisha. Relax maisha hayafanani.