Karibuni programu ya PreForm 5, wiki 12 kuanzia tarehe 1 Machi. Gharama ni shilingi laki 5 lakini zitarejeshwa (kwa kukatwa kwenye karo ya shule) ikiwa kijana atajiunga F5 mwezi Mei, kwa hiyo ni bure kwake. Kivutio kingine cha shule hii ni kwamba kwa mara ya kwanza (kama sikosei) Serkali imeiruhusu Eagles High School ya Bagamoyo ifanye tahsusi (combination) ya PMCs (Physics, Mathematics, Computer Science) NECTA kuanzia 2021.View attachment APPLICATION FOR RESIDENTIAL PRE-FORM 5 PROGRAM 12 WEEKS_final.PDF