Wenye akili hukubali na kushukuru wanaposahihishwa.Aah we nibwege ni nzi unasumbua watu wenye akili wanaofatilia pindi. Tushajua wenimpumbavu mwenyechuki TULIA
Oi kausha basi.Haya tumeshajua una PhD alafu mpumbavu.Wenye akili hukubali na kushukuru wanaposahihishwa.
Wapumbavu wakisahihishwa huwa mbogo.
Hii ni kanuni ya msingi kuijua ukitaka kuwa mwenye akili.
Na ni sababu kubwa unaweza kukuta mtu ana Ph.D lakini mpumbavu.
Sent from my Kimulimuli
Mpumbavu wewe usiyetaka kufundwa.Oi kausha basi.Haya tumeshajua una PhD alafu mpumbavu.
Napenda kufahamu jinsi gani ya kudevelop statement of the problemsHello!
Tafadhali naomba naomba wale wote wenye maswali kuhusu research proposal, dissertations, data analysis, SPSS na mengine yoote yanayohusu academic research uliza hapa!
Pia maswali yanayohusu
1. research methodology
2. regression models
3. parametric tests
4. hypothesis developments and test!
5. conceptual framworks
6. na mangine yoote
Ni free! lengo ni kusaidiana maana moja ya challenge wanazopata wanafunzi ni 'RESEARCH PAPERS'
sasa unaona ulivyo mpumbavu. kwahiyo hapa nisehemu yakutusi. punguza chuki wewe acha watu waendelee kujifunza.Mpumbavu wewe usiyetaka kufundwa.
Halafu usitake nikutusi hapa.
I don't do it. I overdo it.
Take that as fair warning.
Sent from my Kimulimuli
Mpumbavu ni wewe usiyetaka ukosoaji.sasa unaona ulivyo mpumbavu. kwahiyo hapa nisehemu yakutusi. punguza chuki wewe acha watu waendelee kujifunza.
But it is bias...and u can't generalize results to the general population. Right?kama accessibity ya sample size yako ni very difficult unashauriwa tumia convinience sampling. simply ni sampling technique inayotumia pale inapokuwa difficult kupata sample katika population. mfano mdogo ni hivi unaharaka sana na sample yako ni wagonjwa wanaofika hospitali asubuhi unaweza chagua wagonjwa tano wa mwanzo basi
wewe niwakupuuzwa tu.Mpumbavu ni wewe usiyetaka ukosoaji.
Unakumbatia ujinga. Huwezi kuerevuka.
Wewe mpumbavu kwa mantiki.
Mimi unaniita tu mpumbavu.
Sent from my Kimulimuli
Unaonyesha upumbavu wako kwa kushindwa kunipuuza na kunijibu kwa nukuu.wewe niwakupuuzwa tu.
Inaonekana wewe ni "NGUIN", in science we care less about spellings that can be rectified without losing the context of your scientific publication.. your paper will not be rejected because of spelling mistakes if it is out of context. You will be guided where to send your publication for English scrutiny! But if it contains science out of context, even if spellings are correct in the entire doc, it will be rejected! If it is a language related publication, may be it can be rejected, I guess!Kama umezaliwa na kusomea sehemu zisizo na standards unaweza kusema hivi kirahisi tu.
Else, kama umefika level ya kuandika dissertation halafu hujui hata ku spell dissertation unacheza.
Sent from my Kimulimuli
Ukinitukana nitakutukana tusi lolote. Kila mmoja ana tusi linalomuumiza. Usinitukane jibu hoja yangu. Jifunze kujibu hoja sio matusi! Argument by character assassination is not allowed, nitakutukana tusi lolote bila kujali ban!Mama yangu kufikia kunizaa mimi tu tayari ana akili za kutosha, usirudie tena kumhusisha, nitukane mimi
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
mbona unataka watu wakuogope, we nani? Usitukane hutatukanwa. avoid maneno kama mjinga, mpumbavu, ukiendelea kuyatumia utatukanwa kama ulivyotukana.Mpumbavu wewe usiyetaka kufundwa.
Halafu usitake nikutusi hapa.
I don't do it. I overdo it.
Take that as fair warning.
Sent from my Kimulimuli
ongelea hiyo link niliyokuwekea. mbona unaikwepa. hata kama umezaliwa huko uliko, be it USA , England, kuna watu wanakosea spellings huko huko! Waingereza wana colloquial english, muda mwingine wanaiandika na kukosea hata spellings1Kama umezaliwa na kusomea sehemu zisizo na standards unaweza kusema hivi kirahisi tu.
Else, kama umefika level ya kuandika dissertation halafu hujui hata ku spell dissertation unacheza.
Sent from my Kimulimuli
Niwakupuuzwa huyo. Achananae.ongelea hiyo link niliyokuwekea. mbona unaikwepa. hata kama umezaliwa huko uliko, be it USA , England, kuna watu wanakosea spellings huko huko! Waingereza wana colloquial english, muda mwingine wanaiandika na kukosea hata spellings1
Maneno ya kijinga ni kukataa kukosolewa unapokosea.mbona unataka watu wakuogope, we nani? Usitukane hutatukanwa. avoid maneno kama mjinga, mpumbavu, ukiendelea kuyatumia utatukanwa kama ulivyotukana.