Reseach proposal Dissertation, data analysis special thread

[HASHTAG]#Gango2[/HASHTAG],
Hongera sana, endelea kuwasaidia watoto. Japo, naona unapingwa kwa neno kukosewa spelling ila tambua hapo pana watu wanaona unaharibu kazi zao (Research Consultants) watakushusha tu.

Ila rekebisha hilo neno wanalolisema. Kisha endelea kuwasaidia watoto. Najua hata baadhi, ya wanaokutusi hapa bado wanasoma na kuelewa mambo hapa unayojibu.

Keep it up, man!
 
Uzi ulianza vizuri naona ushaingiliwa na mdudu sasa, kuna wadau tulikuwa tunafaidi, basi rekebishaneni kwa utaratibu ili tuendelee kujifunza!
Uko sahihi kabisa ndugu. Kuna watu wanatukana wenzao. wewe toa hoja. Mwambie kuwa hapa si sahihi kwa sababu 1,2,3 .....etc! Sio unamwita mwenzako mjinga. Ukinitukana nitakutukana bila kujali ban!
 
Kama umezaliwa na kusomea sehemu zisizo na standards unaweza kusema hivi kirahisi tu.

Else, kama umefika level ya kuandika dissertation halafu hujui hata ku spell dissertation unacheza.

Sent from my Kimulimuli
 

pumbavu, ndo maana waafrika hatuendelei, tunajifanya tunajua kukosoa, ni ujinga na upumbavu, walioelewa wameelewa, andaa thread yako basi kama unafikiri unajua sana!
Waafrika hatuendelei kwa sababu hatutaki kukosolewa.

Sio kwa sababu tunajifanya tunajua kukosoa.

Wewe usiyetaka ukosoaji ndiye mpumbavu.

Unakumbatia makosa kwa kukataa ukosoaji.

Sent from my Kimulimuli
 
Hao ndiyo wale wale wanaosema ukisoma sayansi hutakiwi kujua grammar na matamshi. Hata lugha ya malkia kuongea ni tatizo, mwisho wa siku ni kujifungia ndani na kutoa excuses za kutotaka kusafiri.
Ni tatizo kubwa sana. Si lugha tu.

Ni utamaduni mzima wa kukataa kukosolewa na kufanya mambo yawe bora zaidi.

Utamaduni huu ni mbaya katika somo lolote. Sayansi au lisilo sayansi.

Sent from my Kimulimuli
 
Uko sahihi kabisa ndugu. Kuna watu wanatukana wenzao. wewe toa hoja. Mwambie kuwa hapa si sahihi kwa sababu 1,2,3 .....etc! Sio unamwita mwenzako mjinga. Ukinitukana nitakutukana bila kujali ban!
Ujinga si tusi. Ni sifa ya kuonyesha mtu hajui kitu fulani.

Mimi ni mjinga wa kupika vitumbua. Sina ujuzi wa kupika vitumbua.

Hakuna tusi hapo.

Kila mtu ana ujinga wake.

Hakyna tusi hapo.


Sent from my Kimulimuli
 
alikua anatoa mfano tu kujaribu kueleza kwa wale wanaojifunza brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga mama yako, huwa sitaki matusi jibu hoja, rekebisha siyo matusi.
Mama yangu kufikia kunizaa mimi tu tayari ana akili za kutosha, usirudie tena kumhusisha, nitukane mimi

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Thank you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Typing error zipo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika hatuendelei kwa sababu hatutaki kukosolewa.

Sio kwa sababu tunajifanya tunajua kukosoa.

Wewe usiyetaka ukosoaji ndiye mpumbavu.

Unakumbatia makosa kwa kukataa ukosoaji.

Sent from my Kimulimuli
Wewe unamaendeleo gani ya ujinga chuki na wivu wakitoto unaouonesha hapa. Swala lakukosea spelling huwalinatokea. Ungetoa masahihisho.
Mkuu gango2 hongera kwakuanzisha Uzi huu kwani ni sehemu yakujifunza kwa wanafunzi wengi. Usikatishwe tamaa na nawapumbavu kama huyu
 
Typing error zipo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
They say to err is human. Sina tatizo na typographical errors.

Hata mimi huwa nazifanya hizo.

Hii lugha si yetu. Karibu wote tumejifunza kama lugha ya pili. Wengine ya tatu.

Sina tatizo na error.

Tatizo langu ni huu utamaduni wa kusema sisi ni wasomi wa sayansi kwa hiyo kukosea kuandika lugha ni sawa.

Hii ni habari ya ujinga kabisa.

Watu wanakumbatia ujinga na kukataa kukosilewa kwa kisingizio cha sayansi.

Unaweza kwenda sehemu ukaandika kitu kina sayansi nzuri tu, lakini kwa sababu umekosea lugha, watu wakakuona ovyo hata wasikusikilize kwa umuhimu.

Sent from my Kimulimuli
 

Masahihisho sijatoa? Unajua kusoma we guluguga?

Wewe hujui Kiswahili. Achilia mbali Kiingereza.

Hujui tofauti ya swala na suala.

Toa tongotongo zako kwanza za kutojua kiswahili kabla ya kunikaribia mimi.

Usije kunipakaza uchafu na ushamba wako.

Unafundishwa kitu bure halafu unakuja mbogo?

Sent from my Kimulimuli
 
Aah we nibwege ni nzi unasumbua watu wenye akili wanaofatilia pindi. Tushajua wenimpumbavu mwenyechuki TULIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…