Requesting Name Change in NECTA

Techintz

Member
Mar 7, 2012
97
33
Habari wakuu,

Mnaweza kunisaidia kuniambia au kunipa ujuzi kwamba,,inawezekana kubadilisha Jina lako Necta kama nimemaliza Form IV lakini Certificates zina Old Name, mimi nilikuwa nahitaji kubadilisha jina langu.Asa inawezekana?kama inawezekana kivipi?

Asanteni.
 
Naomba mtu anaejua kuhusu process hii anisaidia please manake ninauhakika inawezekana, kwani majina si yana hifadhiwa kwenye Database tu?
 
Back
Top Bottom