Reputation Power.

ok ok mkuu will do the needful

mkuu nimedondosha kitu.. karibu jukwaa la celebrities kuna kitu hot sana!

dondosha jiwe ndani... itakuwa poa saaana!
 

Looh honey sijaelewa kitu twende chumban ukaanze upya kunielewesha
 
mkuu nimedondosha kitu.. karibu jukwaa la celebrities kuna kitu hot sana!

dondosha jiwe ndani... itakuwa poa saaana!

Niangalizie namie nna rep ngap,jana lenyewe gum ata kutamka ulimi unaongezeka uzito
 
waliozidi au wanaofuatia?

utafiti wako haujakaa sawa mkuu.. kuna watu wana rep nyingi sana kama Arushaone na BAK wako nafasi za juu kabisa!

Aisee naona jamaa nimewaacha kidogo..
Ukitaka kupokea kuwa mwepesi kutoa.

Sina uhakika kama hakuna mtu mwenye rep nyingi zaidi yangu.
Uran hebu fanya utafiti zaidi.
Wife wangu shansarie anangapi?
 
Last edited by a moderator:
Oh kwani hapa kinachoangaliwa ni nini?
Naomba kuuliza pia, kwani ni mashindano?
Cc uran

Hahahhahahaha lol nimechekaaaaaa hapana mashindano bhana au vipi uran?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Aisee naona jamaa nimewaacha kidogo..
Ukitaka kupokea kuwa mwepesi kutoa.

Sina uhakika kama hakuna mtu mwenye rep nyingi zaidi yangu.
Uran hebu fanya utafiti zaidi.
Wife wangu shansarie anangapi?

Kabisaaa mwenye kutoa hakosi kitu ati....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hahahhahahaha lol nimechekaaaaaa hapana mashindano bhana au vipi uran?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Kumbe basi nilivyoona kumention nikadhani ni competition..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…