Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
MMh, sijui kama nitaelezea kwa ufasaha.
Ila nalenga kwenye mahusiano ya kimapenzi zaidi.
Kuna hii tabia ya baadhi ya watu 'kuji-brand' kama bidhaa ili kwendana na soko la eneo hilo hasa mnapokutana kwa mara za mwanzo, mnaanza kutongozana, nia ikiwa ni kuelekea kwenye mapenzi. Unakuta mtu kajipimp personality kuanzia jina, harufu, mwonekano(Brazillian inahusu kidogo ili kuwa uantingisha kichwa nywele zikija usoni), mtembeo(kuna ule mtembeo wa haraka haraka wa kizungu na high heels kama farasi vile), accent, na hata story anazoongelea ili kupata market penetration ya kutosha
Mfano, unaweza kuta binti ana-adopt tabia mpya kama mavazi, kuongea na interest ili kwendana na mabinti waliomzunguka ambao anadhani wana soko kwenye mahusiano. Simaanishi kwamba anajiuza,hapana. mtu anabadili tu tabia ili apate mtu wa aina fulani waweze kuendana. Wakati mwingine inapunguza ile 'being yourself'
Katika kuji-brand huku, ambako ni 'superficial', ukianza kumzoea unaanza kugundua kuwa zile si tabia zake halisi, unaanza muona kama alikuwa feki. Lakini ukimuuliza yeye anaweza kuwa hajui ama anajua kama kajibrand.
Kama ujuavyo, huwezi kuwa kwenye 'brand mode' 24/7, kuna saa 'wewe' wa ukweli atajitokeza tu.
Hii imepelekea baadhi ya watu kuwatungia jina la 'The Mhogo Mchungu's', hii inatokana na lile tangazo la wakala wa Mpesa kujiita Branch Manager wa NMB, ni kweli anafanya kazi za NMB lakini kiuhalisia yeye ni wakala tu.
Branding ipo sana online pia.
Swali langu, je personal branding inasaidia kwenye mahusiano? Long term? Short term?
Ukikutana na mpenzi ambaye alijibrand na ikakudissapoint, what to do kama unataka kuendelea naye?
Msaada tafadhali