muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,231
- 15,643
Dundo la maana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha haa kulikua na taaluma ya kuzichemsha ili kuzi bust zikianza kuishiwa nguvu. Finale ilikua kuzibonda bonda kidogo, baada ya kuzianika juani. Wahandisi wengine kama akuna mshana jr walikua wana njia ya kuzining'iniza kwenye choo ili ziendelee kupata chaji. I am seriously missing those days
reverse ilkua inakula betri saaaaanaRadio zenye auto reverse ndio zilikuwa fasheni
reverse ilkua inakula betri saaaaana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji106] [emoji106]Kamanda, mshana jr anachomaanisha ni kwamba, hiyo radio cassette auto reverse ikimaliza kupiga upande mmoja inaanza kupiga upande wa pili bila kutoa na ku igeuza kanda. Weee u forward au ku rewind kwa kubonyeza zile za fasta utachezea mikwaju balaa. Ni kweli hiyo mbinu ilikua inasadikika kumaliza battery, hapo ndio utaujua umuhimu wa kalamu aina ya bic.....kwa ajili ya kusogeza kanda mbele au nyuma.
Shs 320.00 duka la rtc.Lakuchumpa zilikuwa raba hizo ni raizoni
Ahahahahaaaaaa danga chee kitambo sana
Pole sana kwa kutomuona mzee wako, may he RIP!Mie nna urithi wa radio,ni model hii hii but nadhani ya nyuma kidogo na kulingana na maelezo ya bimkubwa father aliinunua 1980 me sijazaliwa bado.nikiendaga chaka sometimes natia battery nasikiliza huwa nafanya hivi kujifariji maana mzee wangu sikufanikiwa kumuona.
Asante mkuu,sure nitafanya hivyo maana sikuwahi hata kuwa na wazo hili.Pole sana kwa kutomuona mzee wako, may he RIP!
Itunze hiyo radio vizuri uje uwarithishe wanao pia, with a story behind na wao watawarithisha watoto wao! Ni kumbukumbu nzuri sana hiyo.