Wimbo wooote wa mdogo mdogo umebebwa kwanzia hapo..
"Usijali mama(mdogo mdogo),
We acha waongee(mdogo mdogo),
Ntakupenda saana(mdogo mdogo),
Mahaba ninyongee(mdogo mdogo),
Usijari lawama(mdogo mdogo)"...
Ila kiukweli tofauti ya nyimbo hizi ni kwamba Mwana ni mziki mkubwa na Mzuri,Kitorondo ni mziki wa kitoto ila mtamu..
Hakuna msanii bongo anaweza andika kitu nzito kama ile mwana..
Cc
matumbo