saa sita mchana saa za afrika mashariki, mpaka sasa sijapata taarifa yoyote kuhusu maamuzi ya J.K ..muda unavyozidi kusogea na mimi nizidi kujiuliza, J.K anafikiria nini kuhusu Ngeleja ,Jairo na wahusika wengine..
Tume iliyoundwa kuchunguza ubadirifu wa fedha walizokula kina Jairo hawa kwanini hawakuhusishwa nao pia lazima sheria iwachukulie hatua tena kali sana ikiwezekana hata kufungwa!
Sio kweli kama walisahaulika. moja ya mapendekezo ya tume ni watumishi wote walioshiliki kuchangisha au kufanikisha matumizi yale haramu wachukuliwe hatua sitahiki
Tume iliyoundwa kuchunguza ubadirifu wa fedha walizokula kina Jairo hawa kwanini hawakuhusishwa nao pia lazima sheria iwachukulie hatua tena kali sana ikiwezekana hata kufungwa!
sio kweli kama walisahaulika. Moja ya mapendekezo ya tume ni watumishi wote walioshiliki kuchangisha au kufanikisha matumizi yale haramu wachukuliwe hatua sitahiki