Report gives Kikwete high marks on law review

Report gives Kikwete high marks on law review

kwenye katiba amejitahidi mkuu lets give it to him...
Hayakuwa matakwa wala wazo lake yy na chama chake..nguvu na msimamo wa upinzani, shinikizo la wafadhali pamoja na upepo wa kisiasa ndio vimemlaziamisha kuja na huo mswada wa katiba mpya ambao bado una mapungufu mengi.
 
Tanzania’s President Jakaya Kikwete has received high praise for the way he has handled the issue of the new constitution, with analysts reporting that it has helped restore faith in the ruling CCM. According to the Economic Intelligence Unit (EIU) January report for Tanzania, this places CCM in pole position to continue dominating the country’s politics despite the threat posed by the opposition, especially Chadema.

According to the report, there are chances that divisions in the party may grow, but they will not harm its chances of winning the 2015 presidential election. There is some consolation for the opposition too, especially Chadema. The report says it will secure greater representation despite CCM’s dominance.

EIU, which has been a prime source of information on economic and political trends worldwide for 60 years, reports that Chadema, which has been trying to establish a more high-profile role since the 2010 General Election, will dominate the headlines every now and then. So will the discontent with domestic economic conditions. But both factors will not present a major threat to the overall political stability of the country “unless they are badly mismanaged by the dominant CCM”.

It adds that President Kikwete’s willingness to spearhead the constitution review process and restructure his party has given him and his party bonus points, especially among cynics. But the opposition’s expectations of the new dispensation may be dashed, the report says, given the ruling party’s fears that it could lose more ground should it allow this to happen.

“The opposition’s desire for a constitution according less power to the presidency and a more level playing field in elections is unlikely fully to be realised,” reads the report, “but should see the 2015 election conducted under at least a slightly fairer constitution.”

Aren't these western propaganda to protect their interests by trying to help the called ruling CCM? Just asking
 
Now this is what i call anti zipompa-pompa in kitchen party.... or bi chau to say the least!!

Let us be fair,

I think we will live like we are in Heaven when Chadema gets into power,
1. A bag of Cement will be sold at 5000 thousands Tshs regardless how costfull the prduction cost is
2. There will be no Slums,each Tanzanian will live like a prince,
3. There will be no more University Students Demonstrations.
4. Every Civil Servant will be well paid.
5. Doctors will be paid twice as much
6. Rains and other natural calamities will be well controlled under his administration.
7. There will be No corruptions every Tanzania will be induced a Saint Soul,
8. Whatever World Economic downfall or crisis Tanzania will still have her currency stable.
9. He will Remain in Tanzania regardless what Summit or conference is.
10. There will be No price fluctuations.
11. Any many More,

Simply because Chadema is in Power.

I wonder a Report from World Bank says the GDP of Tanzania is expected to show a huge advancement and Tanzania Economy is as well expected to mark a rise of 6 percent in the next 6 months to come.

NOTE

This is World Bank assessment and Not Mnyika,Zito ,Dr SLAA au any other interest groups, it's World Bank ,

For your information
There are factors and international Standards that should be met through their well defined Economic growth Indicators which they are perceived to terms of references based on Reality and not Political fanatics and Brain Washed Minds..

Shame to all Drs and Prof. In our country who they tend to be too political and individual hatred without making their opinions and comments based on academic requirements and reality.

Deceptions and indoctrination .

Shame to you all who spends most of your time to belittle your own country toward public.
Shame to you all who have choosen to keep a blind eyes to whatever positive results is being made.
Shame to you all who spend most of your time developing a carrier out of criticising... Carrier critics.

Tukosoeni kwa kujenga sio kila kitu kibaya sidhani,

Ila msiniulize kwani maisha magumu licha ya uchumi kuonekana unakua,

Let's be fair.
 
Kikwete kiboko yao. Hiyo kitu ingine si mchezo.

Tunao faidi porojo za chadema ni sisi tunaoingia JF maana huwa tunaona utumbo wao, mara sijui kimara "kumelipuka", mara sijui "lema" kafanya nini.

Shows how shallow you peoples are, you talk about peoples instead of ideas. Tazama mavitu ya JMK hayo. Mara ohh Kikwete anasafiri sana, mara oohhh, sijui nini.

Mnataka kushindana na mijitu toka kuzaliwa inazaliwa kwenye uongozi, maisha yao yote ni viongozi, wakati hamjui hata kiatu kipi uvae wakati upi. Shame.

Magwanda leo humu kuna habari mbili za Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambazo hamna hamu nazo lakini ndio zimo, mnalo?


Jamaa watabana mwisho wataachia aiseee
 
Tanzania’s President Jakaya Kikwete has received high praise for the way he has handled the issue of the new constitution, with analysts reporting that it has helped restore faith in the ruling CCM. According to the Economic Intelligence Unit (EIU) January report for Tanzania, this places CCM in pole position to continue dominating the country’s politics despite the threat posed by the opposition, especially Chadema.

According to the report, there are chances that divisions in the party may grow, but they will not harm its chances of winning the 2015 presidential election. There is some consolation for the opposition too, especially Chadema. The report says it will secure greater representation despite CCM’s dominance.

EIU, which has been a prime source of information on economic and political trends worldwide for 60 years, reports that Chadema, which has been trying to establish a more high-profile role since the 2010 General Election, will dominate the headlines every now and then. So will the discontent with domestic economic conditions. But both factors will not present a major threat to the overall political stability of the country “unless they are badly mismanaged by the dominant CCM”.

It adds that President Kikwete’s willingness to spearhead the constitution review process and restructure his party has given him and his party bonus points, especially among cynics. But the opposition’s expectations of the new dispensation may be dashed, the report says, given the ruling party’s fears that it could lose more ground should it allow this to happen.

“The opposition’s desire for a constitution according less power to the presidency and a more level playing field in elections is unlikely fully to be realised,” reads the report, “but should see the 2015 election conducted under at least a slightly fairer constitution.”

Semeni na hawa ni REDET.
 
Zomba,
Ningekuwa wewe ningemshabikia Kikwete kimya kimya. Hamna la maana alilolifanya katika miaka hii 7 sasa ya utawala wake. Katiba haikuwa kwenye reda yake kabisa. Kadandia ajenda ya wengine, na huu ukiwa ushahidi bayana kwamba CCM haina dira, haina vizhyen.

CCM siku zote wanaangalia facts,regardless kutoka magwanda,nccr,udp na taasisi zinginezo.
CDM siasa zenu ndizo za upinzani kwa kila kitu kikitoka nje ya CDM.
 
Yaani alompa hii sifa kaipoteza bure, hasitahili hata tone la sifa kwani hakuna anachofanya juu ya wananchi wake zaidi ya kutimiza ndoto zake, natamani aondoke hata kesho madarakani, kwani anatupotezea mda tu. rais gani hajali wananchi wake hajali polisi wanawaua, yeye yuko na habari zake tu, na mpaka dakika hii hayupo nchini kwake na sidhani kama anajali kuhusu yanayowasibu wananchi wake. Nina hasira mie
 
Jamani tuwe wakweli, hivi ni kweli kwamba suala la mchakato wa katiba limerudisha imani ya wananchi kwa CCM kama ambavyo paragraph ya kwanza ya hiyo habari inasema?
Massenberg,
Kuna kitu kinaitwa wishful thinking. Mwandishi habari ni kati ya wale wanaotaka kuona CCM inaendelea mamlakani kwa maslahi yao.
 
kama una hasira kweli kunya tuone,hongera JK wenye wivu wajinyonge
Yaani alompa hii sifa kaipoteza bure, hasitahili hata tone la sifa kwani hakuna anachofanya juu ya wananchi wake zaidi ya kutimiza ndoto zake, natamani aondoke hata kesho madarakani, kwani anatupotezea mda tu. rais gani hajali wananchi wake hajali polisi wanawaua, yeye yuko na habari zake tu, na mpaka dakika hii hayupo nchini kwake na sidhani kama anajali kuhusu yanayowasibu wananchi wake. Nina hasira mie
 
Kikwete kiboko yao. Hiyo kitu ingine si mchezo.

Tunao faidi porojo za chadema ni sisi tunaoingia JF maana huwa tunaona utumbo wao, mara sijui kimara "kumelipuka", mara sijui "lema" kafanya nini.

Shows how shallow you peoples are, you talk about peoples instead of ideas. Tazama mavitu ya JMK hayo. Mara ohh Kikwete anasafiri sana, mara oohhh, sijui nini.

Mnataka kushindana na mijitu toka kuzaliwa inazaliwa kwenye uongozi, maisha yao yote ni viongozi, wakati hamjui hata kiatu kipi uvae wakati upi. Shame.

Magwanda leo humu kuna habari mbili za Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambazo hamna hamu nazo lakini ndio zimo, mnalo?

Mkuu lakini kuwa mkweli suala la Katiba mpya halipo hata kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM. But lilikuwepo kwenda ilani ya Chadema. Credits should always go where it deserve. Na hapa ni Chadema. Kama isingekuwa Chadema, wala Kikwete asingekuwa na mahali popote pa kuanzia, kwa sababu katiba mpya haipo hata kwenye ilani ya CCM for the for the next five years.

Pia unaweza kuona jinsi serikali na CCM inavyohangaika in practice. Kwenye suala la Katiba mpya, serikali haijui au ilikuwa haijui ianzie wapi. Tofauti na Chadema, kulikwa hakuna ground work yoyote iliyofanywa na serikali au hata CCM kuhusu hoja ya Katiba mpya. Even, Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Sheria, ambao wangetakiwa kuwa mstari wa mbele kwenye hili suala, walisema wazi kuwa hakuna haja ya kuwa na katiba mpya. They had rubbished the idea.

Sasa Kikwete alivyokubali pressure ya Chadema kuwa na mchakato wa katiba mpya, his government and party were taken by surprise. Hawakujua wafanye nini, as they were taken unprepared. Hivyo Kikwete ilimbidi awasikilize tena Chadema on what should be included kwenye mchakato mzima wa Katiba mpya.

Kwa hiyo, kwa mchakato wa katiba mpya, kwa mara ya kwanza Tanzania, Chadema kimeonyesha jinsi chama cha upinzani kinavyoweza kutumika ku-influence serikali iliyo madarakani kufanya mabadiliko muhimu kwa manufaa ya wananchi.
 
Kikwete IMHO does not deserve high marks on anything, he is a big failure period.

~Kumchagua Kikwete katika uchaguzi huu ni janga kubwa la Taifa--Dr Slaa.

maneno ya mfa maji hayo
 
Back
Top Bottom