Report claims Tanzania opposition areas allocated less funds | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Report claims Tanzania opposition areas allocated less funds

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Feb 15, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Tanzania's ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) withholds development funds from areas where it gets fewer votes in elections, a new study claims.

  Titled The Politics of Government Expenditures in Tanzania, the study by Ms Laura Weinstein of the Department of Political Science at the University of California, Los Angeles says the CCM government favours areas where it gets the most votes.

  According to the study, whose findings were first presented at the Working Group in Africa Political Economy (WGAPE) last May at Pomona College in California, the “punishment” strategy is meant to increase the party’s vote share.

  It says voters’ lack of a viable alternative and reliance on government resources to improve their wellbeing has created room for such manipulation.

  “Overall, this study finds that CCM disproportionately targeted higher per capita expenditures and larger budget increases to the most supportive districts in order to continue winning elections formidably,” the report says.

  But Finance and Economic Affairs minister Mustafa Mkulo, CCM Secretary-General Yusuf Makamba and the chairman of the opposition Civic United Front, Prof Ibrahim Lipumba, all dismissed the findings as “flawed”.

  Mr Mkulo opposed the report, saying the government would never employ such a “self-destructive” strategy, adding that preparing the budget was a thorough and inclusive exercise that left no room for such discrimination.

  “This is a very serious observation. I haven’t seen the report but what I can say at the moment is that the Tanzanian government has never used such a spiteful policy on its people… we have seen so many of these studies, which are done from time to time for different motives,” the minister told The Citizen daily by telephone.

  The Citizen
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  This is too serious, outrageous and a criminal act at best that can very well be successfully taken up in a court of law as DISCRIMINATORY GESTURE IN COUNTRY DEVELOPMENT PLANS that throws the constitutional rights of our citizenry to the dustbins.

  Relevant authorities, Act Now or face being denied taxes from the excluded regions!!!
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Lakini kama hizo areas zinapata support zaidi mbona ziko very poor? Sehemu kama Morogoro ambapo upinzani huujawahi kuchukua, is one of the poorest regions in the country. Lakini sehemu kama za Kilimanjaro, Arusha, etc watu wanapeta japokuwa ni ngome ya wapinzani. May be these areas don't depend too much on government support, kulinganisha na hizo poor areas?
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,053
  Likes Received: 3,964
  Trophy Points: 280
  kuna ukweli wake maana hiyo report imeainisha budget allocation kabla na baada ya hizo sehemu kwenda upinzani! tusiongee juujuu inawezekana hizo sehemu zinaonekana zina maendeleo kwa sababu ya resource zilizopo na usimamizi mzuri wa kidogo wanachopewa lets say Arusha Mjini hata serikali ikikata funds bado kutaonekana kunaendelea maana shughuli za utalii na madini zipo siku zoote na pia muamko wa viongozi wao wa serikali za mitaa maana kama sikosei halmashauri ya Arusha ishafukuza viongozi wengi haswa kuhusiana na ubadhirifu! Wakati huohuo Arusha pia Kilimanjaro tunajua miradi mingi aidha inakuja directly toka donors' funds (through NGO's) au kanisa (Lutheran and catholic church) au kupitia ushirika! tujaribu kuondoa hayo halafu tuone kama hizi sehemu zitakuwa kama zinavyoonekana kwa kigezo cha funds za serikali kuu!
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Usibishe hivi hivi. Hawa jamaa huzungumza kwa takwimu, hawajengi hoja hewa ndivyo walivyo. Ukiangalia Mikoa ya Kilimanjaro, Wiaya ya mbinga, maeneo ya Bukoba yamemeemeka na jitihada za watu binafsi kuwa na ushindani wa asili. Tujaribu kuwa na jicho pana zaidi katika kujadili ajenda hii. Mnaweza kukumbuka waliyowapata Wapemba kwa kutoshabikia CCM. Hawa jamaa wana mashushushu wao wanaoangalia kila siku mambo yanavyokwenda.
  Tatizo viongozi wetu wanajiachia mno katika maongezo yao na watu hawa kwa ajii ya kuhemekea kupata misaada kumbe ni kujiruhusu utumwa wa kuchakachuliwa wanayofanya.
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  I would like to read the whole study.
   
 7. p

  politiki JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  MKULO,
  How can you comment on the report which you have never read it?? That shows how incompentent you are?
   
 8. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Hiyo ni keli kabisa wala hakuna shaka,
  kwani ni nanai asiyejua kuwa CCM ni watu wa visasi?
  sembuse na kunyimwa kura?
  Fuatilieni kipindi hiki wilaya chini ya CDM zote lazima zinyimwe kabisa au zipewe fund kindogo sana ili kuwakomesha.
  Lakini hawajui kuwa hiyo ndiyo chachu ya watu kuzidi kuichukia CCM
   
 9. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tungependa kuona jinsi data zilvyopatikana (data collection), mambo ya sampling, research methodology, nk. Hata hivyo, niliwahi kumsikia Dr Mwakyembe akizungumza kwamba Jimbo lake lilimpa JK kura nyingi 2005 ndio maana aliahidi kuwajengea barabara! Ngoja nikipata video clip ya kauli hiyo nitaibandika hapa wandugu!
   
 10. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  huko ccm ilikoshinda kwenyewe hakuna maendeleo coz huko walaji ni wengi na wananchi wengi hawako aware na rights zao, though fund allocated ni nyingi. kule kwa wapinzani though fund allocated ni kidogo inaweza ikadhibitiwa vizuri ikafanya hiyo kazi kidogo na watu wakaona labda isitolewe kabisa, sometime pia kutakua hamna tofauti huko kwao wametoa nyingi imeliwa nyingi imetumika kdgo na huku hiyo kidogo imetumika yote so hakutakuwa na tofauti dawa ni moja kuwatoa CCM!
   
 11. M

  Marytina JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Arusha/Kilimanjaro na sehemu zote zenye upinzani zinauafadhali kimaendeleo kwa sababu WATENDAJI, WAKURUGENZI huogopa kuzitapanya/kuzichezea hela kwani kulindana hamna/kidogo sana.Mfano repoti ya CAG ni nzuri katika halmashauri zenye wabunge na au zinazoongozwa na wapinzani hasa CDM.HATA KAMA BAGAMOYO IKAPEWA BAJETI YOTE YA TAIFA NO TANGEBLE DEVELOPMENT AS KUNA KULINDANA KULIKOPITILIZA.
   
 12. tartoo

  tartoo Senior Member

  #12
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  A QUESTION TO MUSTAPHA MKULO

  The report is a study and it is definitely backed up by data.

  I think you should have reserved your comment to have a room for redress.

  What if its true?Will you resign?

  Think twice before you bubble any word MKULO
   
 13. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kuna video za tarime kipindi cha uchaguzi mdogo hata hapa zilishatundikwa au mnaweza kuzipata kwenye website ya mgombea ubunge kinondoni (chadema) kama bado zipo. mtamuona makamba akisema "hivi mnachagua mtu wa upinzani wkt mnajua serikali inaongozwa na ccm, mna akili nyie?"
   
 14. K

  Kiti JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Article yote hii hapa kurasa 35: www.sscnet.ucla.edu/polisci/wgape/papers/18_Weinstein.pdf
   
 15. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Utafiti ni sahihi kabisa, kuna majimbo yalipatiwa miradi ya barabara za lami baada ya kutosa upinzani. Mfano hai ni Jimbo la Moshi vijijini wakati wa kampeni 2005 waliambiwa ikiwa wataendelea na upinzani basi watachangia kodi ambayo hawataifadi! Hili tuli observe wakati huo na ni kweli waliaahidiwa barabara za lami iwapo wataichagua CCM. Na miradi hiyo ya lami bado inaendelea... Changamoto ni Upinzani kuunda kamati yake ya kutafiti hilo kwa miaka miwilli ya kifedha na kutolea tathmini ya kisayansi bungeni na kwa donors. Kwa kuwa hili laweza kuwaathiri sana katika chaguzi zijazo
   
 16. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mhhh Sumaye, Malecela, Makamba, Kikwete wote walishasema ukitaka mambo yakunyooke weka bendera ya CCM....
   
 17. M

  Marytina JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  nakubaliana na wewe hiyo kauli naikumbuka vizuri.
   
 18. T

  Thesi JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 998
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa hata Geita muda mrefu barabara hazitengenezwi kisa eti kachaguliwa diwani wa CDM. Kuna maeneo ambako kulikuwa na mradi wa maji kata ya Kalangalala huduma haitolewi kwa kutaka kumkomoa diwani wa CDM. Barabara zinatengenezwa tu zile ambazo diwani viongozi wanapita. Halmashauri wanapata fedha nyingi kutoka Mgodini lakini hakuna maendeleo. Nafanya kampuni ambayo iko mgodini mwezi wa January tumewalipa halmashauri milioni zaidi ya mia tatu lakini hakuna maendeleo. Hizi ni kodi tofauti na pesa zinazotolewa wanazolipa GGM halmashauri kama mil mia 2 au zaidi ambazo ndo wengi wanazijua.
  Kwa hivo kama walivosema wengine haya maeneo ambayo CCM bado wana nguvu (japo diwani ni wa CDM) pesa nyingi zinaliwa na viongozi.
  Kuna ndugu yangu anafanya NMB ambako ndo halmashauri wanatunza pesa alinifahamisha jinsi wahasibu na viongozi wa halmashauri wanavogawana pesa za serkali wakati Geita hamna hata maji iliniuma sana. DAWA NI MOJA TU. KUWAN'GOA CCM.
   
 19. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  naona sasa ukweli umedhibitishwa kisayansi......
  on the other hand, hichi ni kitu cha kutegemea kabisa katika nchi yenye siasa duni!
  Nani kasema kilimanjaro imeendelea kutokana na pesa za serikali...
   
Loading...