Jerry Silaa
Member
- Jan 5, 2012
- 31
- 21
Kwa matatizo ya wanafunzi wa Kampala ambao ni wapiga kura wangu hakuna waliloniwasilishia ambalo lipo ndani ya uwezo wa meya. Yote ni ua serikali na TCU . Lakini kama kiongozi nimewaeleza milango yangu ipo wazi wakiwa na tatizo lilote nitawasaidia ila wafate yaratibu, wakifanya fujo wakavunja vioo vya chuo hiyo si style yangu na vilevile ni illegal. Kama kuna tatizo lolote tafadhali nijulishe,
mkuu inasemekana kuhusu upokeaji wa zawadi upo juu na ndio maana wanafunzi wa KAMPALA UNIVERSITY MPAKA LEO MMEWAPOTEZEA WW NA SERIKALI YAKO JAPO WAMEOMBA SANA MSAADA WAKO KTK UFUMBUZI WA MATATIZO YAO NA CHUO ICHO CHA MAGUMASHI.....
LAkn mmekuwa kimya kwa kuwa kuna percent flani flani mnapata ili kuzibwa midomo....
Kama si kweli je huelewi kinachoendelea pale chuoni ....