kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,190
- 1,729
- Thread starter
- #21
Sawa kaka!
Sawa kaka!
Loooh!Ndio nimeshangaa hata mimi. Au hawa ndio wale wanaopata kazi kwa vi memo?
God save us
Ushauri Konki sana Mkuu, ila CRDB naona kama wanalipa vizuri zaidi ya NMB au unaonaje Kiongozi!Kwa mazingira ya uchumi ya sasa kazi kwenyo hizo banks ulizozitaja ndo zipo stable na zina security hata kwenye maslahi pia sio kubaya. Acha uwoga nenda kakomae huku mtaani hakufai, ukijifanya mjuaji utachezea za ugoko, majira yamebadilika
hahahah hiyo 1.5 hadi 2.2 ni take home mkuu..?kidambinya, Salary.......kati 1.5m hadi 2.2m
House allowance ni 15% hadi 20% ya basic salary
Transport ni kati ya 300k hadi 500k.
Haya wahi karipoti mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kivipi, na kwa nafasi zipi..?Ushauri Konki sana Mkuu, ila CRDB naona kama wanalipa vizuri zaidi ya NMB au unaonaje Kiongozi!
Basic salary ni 5M,KATI YA WAFANYAKAZI WA NMB NA CRDB, NI WEPI WANAOLIPWA VIZURI NDUGU ZANGU, MAANA NIPO KATIKA CHAGUZI, NIMEPATA KAZI SEHEMU ZOTE MBILI KWA NAFASI ILE ILE.
Msaada ndugu kuhusu Maslahi ya mtu anayeajiriwa katika Bank hizi mbili (CRDB and NMB) kwa nafasi za Bank Officer au Sales Executive.
Hizi ndio local banks kubwa hapa nchini, naogopa kuingia cha kike. Msaada wenu Tafadhali.
Salary.....?
Housing....?
Transport.....?
Na mengine kama yapo?
Nawasilisha.
Imekuwa BoT!kidambinya, Salary.......kati 1.5m hadi 2.2m
House allowance ni 15% hadi 20% ya basic salary
Transport ni kati ya 300k hadi 500k.
Haya wahi karipoti mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
BASIC
NakutaftaImekuwa BoT!
??Nakutafta
What?