Remuneration katika sekta ya benki

Remuneration katika sekta ya benki

Ulipashwa ku bargain wakati wa interview au hata interview hujafanya?
Kazi za bongo hata ukibargain kazi bure, wanakuwa wamejipanga na Offer zao.
 
Kazi za bongo hata ukibargain kazi bure, wanakuwa wamejipanga na Offer zao.
Kama wanahitaji utaalamu wako mara nyingi wanakubali bali ujenge hoja tu wakati wa kubargain
 
hiyo ni salary ya mtu mwenye experience ya 10yrs.
Huenda nikapata kazi katika hizo banks, naomba kufahamu iliyobora kimaslahi kwa wafanyakazi wake! [emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom