Remote control na simu za mkononi kwenye kitufe cha namba 5

Ni kwajili ya wasioonan na hiyo ni inter standard code na watengeneza simu wote wanatumia kwenye simu zao, ukiona yako haina jua fake. Hakuna kiwanda makini kinaweza tengeneza simu bila hiyo maneno
Hata kwenye keyboard za kompyuta alama hizo zipo kwenye herufu F na J
 
Back
Top Bottom