Remix ya wimbo wa Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Remix ya wimbo wa Taifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by EasyFit, Dec 8, 2011.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wakati nikiwa shule nilifundishwa wimbo wa taifa ni moja ya vitambulisho vya taifa kama ilivyo bendera ya taifa ambayo huwezi kuibadilisha kirahisi, leo nimesikia radio clouds wameufanyia remix sijui kama wana ruhusa kamili. Kama ni rahisi kiivyo tusishangae kusikia ukipigwa kwa bit za bongo flava kwenye ma bar watu wakakatika viuno wakiucheza.
   
 2. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Usishangae siku ukikuta bar tunaserebuka na wimbo wa taifa ..............tubarikiiiiiiiiiii we acha bana.

  [​IMG]
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Season II ya kipindi cha serebuka, sitashangaa kama utatumiwa.

  Ila hii topic ishaanzishwa,,,
   
 4. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  acha waupige tu katika radha tofauti tofauti, maana wengine hawaupendi katika radha hii ya siku zote na ndo maana hawaujui kuuimba (wachezaji futiboo)

  mimi ntafurahi sana wakiupiga katika radha ya rege za bobumale.....!!!
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hivi wajelajela bado wapo nchini kina Ndanda Kosovo nasikia visa yao imekwisha nashauri waupige kwa mtindo wa ndombolo.
   
 6. olele

  olele JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  Cku hz mbona ovyo tu hata bendra ya taifa iko 2 kwnye matangzo ya pombe nk.
   
 7. olele

  olele JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  Cku hz mbona ovyo tu hata bendra ya taifa iko 2 kwnye matangzo ya pombe nk.
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  nchi ishauzwa hii kamanda! angalia ustaarabu mwingine mkuu
   
 9. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45

  Aaaaaaaaaaaaaahhhhh!!!!!!! hiyo bendera ndo usiseme, maana hadi imeshonwa magauni ya kwaya.................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. ram

  ram JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,210
  Likes Received: 909
  Trophy Points: 280
  Na zamani ulikuwa ukisika wimbo wa taifa unapigwa ujue kuna jambo, mi nimwshangaa nausikia clouds kwenye matangazo ya biashara, na ile amri ya ukisikia wimbo wa taifa usimame sijui hata kama bado ipo.

   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu kama serikali haijaliona hili la pombe basi hata la clous sio mbaya
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ile amri ya ukisikia wimbo wa taifa usimame ilikuwa mwisho enzi za nyerere
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Enzi hizo mgambo akipiga filimbi kuashiria kushusha bendera lazima usimame hata kama ni ya CCM.
   
 14. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mpaka enzi za mzee mkapa.ulikuwa ukisikia wimbo wa taifa ujue kuna jambo muhimu.sasa hivi kila dakika unausikia bila sababu.Wakati enz zile ukilia ujue kuna mtu kafa au rais anapiga mkwara juu ya jambo fulani.
   
 15. Mugwet

  Mugwet Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 25
  Mkuu bado 2 kwenye gwaride 2cheze kiduku,nazani wataipitisha ili kuleta radha tofauti tofauti!
   
 16. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  hakika hii thread imenifurahisha sana big up kwa wote mliochangia!
   
 17. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Clouds huwa wanajifanya kuchamba sana hadi wanapitiliza, na huyo machozi wao kama ana sauti nzuri akawaimbie walevi kwenye bar yake na si kuchezea wimbo wetu wa taifa.
   
 18. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  na klauds wamekomaa kweli na miaka 50 ya uhuru si bure pale
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Sio hivyo tu mkuu wangu,
  Kwa jinsi nlivyoisikia hiyo remix nashawishika kuamini iko siku itakuja remix yenye Rap (hip hop) halafu mungu ibariki yetu ikakaa kwenye korasi,
  Watu wamepoteza kabisa heshima kwenye alama muhimu za taifa letu.
  Bendera ya Taifa inashushwa ile saa 12 jioni hakuna anaesimama kama inavyotakiwa,
  Kila mtu na mitikasi zake!!!
   
Loading...