Unajua kiongozi,kuna watu wanajaaliwa kuwa na vipaji vya ziada ktk fani zao.Bob ni miongoni mwao.Sikiliza nyimbo yake yoyote,bila kujali imepigwa zamani kiasi gani,ujumbe wake bado una nafasi hata leo.Iwe ya mapenzi au ya siasa.Rest in peace Bob.