donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Kichuo chuo, mambo ya kupigana exile. Unakuta umetoka lekcha umechoka kinoma halafu unaingia hostel unamkuta mwana kama hivyo. Hata hakuambii, inabidi tu ujiongeze [emoji23][emoji23]
HahahahaNa Mimi namleta wangu
Ngoma drooo Kila mtu ashinde mechi yake!
SUA enzi zake.😂