Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.
Duuu.Hiyo kali.Lakini hata kama she is a muslim nahisi hayo makelele yanamuathiri kwa namna moja au nyingine kwenye makuzi yake.Obay Miskiti IPO spika zao za kiobay obay huku uswaz spika zinakelele na zinakoroma nawakati ile zinatestiwa tu lazma uruke kitandani mbio sana woooy korrroooo Alhah akbarrr mi ilifika kipindi mtoto Wangu mdogo WA miez kumi ulikuwa anapiga adhana hahahaha siku nilipogundua nilicheka sana....
Akiskia kimeguswa tu anafatisha sauti ya adhana by the way she is a muslim not so bad.......
mimi nakuunga mkono lakini umefinya sana mada yako kiasi chakuonekana uko upande wa dini fulani, ina maana makelele yanayokukera ni ya adhana tu? kwa ujumla watanzania kwa sasa hatuna nidhamu kabisa makanisa nayo yanapiga kelele usiku kucha sijui wanasali usiku huo wa maanani, mitaani nako kila baada ya nyumba kuna bar na disko kubwa watu hatulali usiku kucha ngololo ngololo, watu wengine hawana heshima hawajali wenzao ukipanga na watu wa aina hiyo utajuta vyumbani wanapiga muziki wa klabu yote hayo ni ishara upungufu mkubwa sana wa nidhamu. tuyakemee huko huko kwenye makazi yetu tukishindwa tutunge sheria.Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.
yaani ni shida kabisa...kibaya zaidi km uko karibu nao ukitaka kuangalia taarifa ya habari na ndio wanaanza mambo yao hakuna kusikilizana tena
kelele kutoka nyumbani za ibada na bar ni tatizo. Kunamisikiti ambayo adhana, swala mawaidha wanayapigia kwenye speaker. Kuna makanisa ambayo sala yote na miziki mikubwa inapigiwa kwenye maspeaker. Hii Katiba "dhalimu" ya sitta et. al. Haijazungumzia noise pollution kama kosa la jinai? Would have something in it if they had...kwa vichwa nazi nilivyovisikia vikijadili sitegemeiMuongo wewe hawapigi kelele kias hicho
na ni muda mfupi tu
Hama kakae porini kusiko na watu.kelele kutoka nyumbani za ibada na bar ni tatizo. Kunamisikiti ambayo adhana, swala mawaidha wanayapigia kwenye speaker. Kuna makanisa ambayo sala yote na miziki mikubwa inapigiwa kwenye maspeaker. Hii Katiba "dhalimu" ya sitta et. al. Haijazungumzia noise pollution kama kosa la jinai? Would have something in it if they had...kwa vichwa nazi nilivyovisikia vikijadili sitegemei
Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.
hivi umewahi kupanda basi lenye kwaya ndani dsm-mby?
Athana dakika 5 na kwaya usiku kucha vinalingana?
Hizo kwako ni kelele kwa wenzio wanajaribu kukumbushana wajibu wao kwa muumba
Hama kakae porini kusiko na wstu,aliyejirani na kituo cha daladala,aliyejirani na stand ya mabasi ya mikoani,uwanja wa michezo,shule,soko nk,nao waseme pia wanapigiwa kelele.Hata mimi nakerwa na haya maspika jamani. Yawe ya kikristo au ya kiislam. Kwangu kengele ya kanisani is not kelele coz ni tune ya kengele ya church haiumizi masikio wala kichwa. Hayo maspika tena wanatishana ooh ucposali moto wa jehanam jeneza kitanda chako, sanda..blah blah blah.. Puh! Upuuzi mtupu! Huyo Mungu anaetoa threats kiac hicho hata simtaki