I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. caused.
Ungerudi kuedit pale pale badala ya kuacha na kusahihisha pengineI meant Dubai
kama ndo hivyo basi hata zile kengele ziondolewe makanisani kuweka usawa......ama kweli nyani haoni kundule
Too much of mosques in every angle, all making unnecessary noisses. Makanisa kwenye makazi ya watu yanayopiga kengele ni almost nothing. It was not an attack that needed a counter attack. Think again
kama ndo hivyo basi hata zile kengele ziondolewe makanisani kuweka usawa......ama kweli nyani haoni kundule
Define hizo unnecessary noisses mkuu, iwapo nchi itafanya maamuzi kwa kufuata hisia za mtu mmoja mmoja tunaweza kuta tuna shut down almost every thing na bado inaweza isiwe suluhu, ndio maana kuna viwango vilivyotengwa ambavyo vinakubalika katika jamii. Kwa mfano sheria mpya ya afya ya jamii itaweka kiwango kinachokubalika na hakuta kuwa na exceptions za makanisa wala misikiti. Kwa kuwa umezaliwa Tanzania nchi inayoheshimu misingi ya kuabudu jua wazi utaendelea kusikia adhana, kengele, na fataki za wahindi bila kujali zinakukera wewe au la ila zitajali kiwango kinachoruhusiwa cha hizo kelele. Kuna watu wanataka kiwanda cha bia TBL kifungwe kinapiga kelele na kutoa harufu, wengine air port iondolewe inawasumbua wakazi wa kitunda, na mimi ningependa soko la feli lifungwe linaharibu mandhari ya Ikulu ila haiwekani wote tulidhishwe kutokana na hisia zetu bali lazima kuwe na sababu za msingi zenye kuimarishwa na ushahidi.
Hivi hawa Wasilamu mpaka waamshwe? Yaani allah wao hawezi kuwaamsha usingizi mpaka wapige kelele.
Au ndio kulazimisha huko, dini zingine lol
define hizo unnecessary noisses mkuu, iwapo nchi itafanya maamuzi kwa kufuata hisia za mtu mmoja mmoja tunaweza kuta tuna shut down almost every thing na bado inaweza isiwe suluhu, ndio maana kuna viwango vilivyotengwa ambavyo vinakubalika katika jamii. Kwa mfano sheria mpya ya afya ya jamii itaweka kiwango kinachokubalika na hakuta kuwa na exceptions za makanisa wala misikiti. Kwa kuwa umezaliwa tanzania nchi inayoheshimu misingi ya kuabudu jua wazi utaendelea kusikia adhana, kengele, na fataki za wahindi bila kujali zinakukera wewe au la ila zitajali kiwango kinachoruhusiwa cha hizo kelele. Kuna watu wanataka kiwanda cha bia tbl kifungwe kinapiga kelele na kutoa harufu, wengine air port iondolewe inawasumbua wakazi wa kitunda, na mimi ningependa soko la feli lifungwe linaharibu mandhari ya ikulu ila haiwekani wote tulidhishwe kutokana na hisia zetu bali lazima kuwe na sababu za msingi zenye kuimarishwa na ushahidi.
Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.
Dini uzushi tu.Kwani mungu hawezi kuweka alarm system kwa waamini wake tu? Come to think of it, kwa nini huyu mungu mwenye uwezo wote anapapatikia sana kuabudiwa na insignificant humans? Ana upungufu gani? Anakuwa kama slavemaster bwana.