Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

ukweli mtaweza kupata hela eventually but with how many years?? kumbuka tanzania ni nchi maskini kamatu Kenya... fanya hio hesabu 200km in 3 years...how many km do you need? more than 1000km.... for me it would have been better to take the loan finish thr project in 5 years then pay it back with proceeds from the project...
Itategemea kumbuka ata wazungu hawapendi kuona tumeamka na ndio maana mikopo yao bado inakua michungu kama shubiri...lakini I hope chini ya miaka kumi itakua full operational. ..
Binafsi kitu kimoja naweza sema tumejitutumua sababu tungeweza tusijenge kabsa na maisha yakaenda but lazima tukubali kwamba bila miundombinu yakisasa ile site yetu yakua uchumi a viwanda mwaka 2025 itakua hadithi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukweli mtaweza kupata hela eventually but with how many years?? kumbuka tanzania ni nchi maskini kamatu Kenya... fanya hio hesabu 200km in 3 years...how many km do you need? more than 1000km.... for me it would have been better to take the loan finish thr project in 5 years then pay it back with proceeds from the project...coz it will take more than 15 years to complete it with ur own money...also, other projects will be put on hold for 15 years since u are building an expensive railway...makosa ni kumamini mwalimu wa kemia afanye decisions za Economics..mimi ninamaliza mwaka wangu wa nne in Econ and from what I can see, ur SGR is a huge mistake...

Kama hujui hujui tu
usilo lijua niusiku wagiza!
Reli hii imegawanywa ktk vipande vipande
na hakuna kipande kinacho msubiria mwingine
Kama huna lakupinga pita wima soma kisha kanywe Chang'aa
 
Kama hujui hujui tu
usilo lijua niusiku wagiza!
Reli hii imegawanywa ktk vipande vipande
na hakuna kipande kinacho msubiria mwingine
Kama huna lakupinga pita wima soma kisha kanywe Chang'aa
sawa mkuu...
 
ukweli mtaweza kupata hela eventually but with how many years?? kumbuka tanzania ni nchi maskini kamatu Kenya... fanya hio hesabu 200km in 3 years...how many km do you need? more than 1000km.... for me it would have been better to take the loan finish thr project in 5 years then pay it back with proceeds from the project...coz it will take more than 15 years to complete it with ur own money...also, other projects will be put on hold for 15 years since u are building an expensive railway...makosa ni kumamini mwalimu wa kemia afanye decisions za Economics..mimi ninamaliza mwaka wangu wa nne in Econ and from what I can see, ur SGR is a huge mistake...
Mnyang'au, hebu ingia kwenye website ya rahco.go.tz utaona tenda zilishatangazwa Siku nyingi hadi kufikia kipande cha Tabora-Isaka
Screenshot_2017-08-26-11-38-58.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hao jamaa Ni viazi!
Kila jambo lifanywalo Na hii serikali watalipinga!!
Utadhani hawatafaidika nayo!!
Kwani hiyo miradi ikifanywa kimyakimya tukaja kushituka imeisha tu kwani haijengeki...huuuuuuu ushamba wa kiki za kipuuzi ifike hatua tubafilike basi....kuleta maendeleo ni kaz ya serikali..serikali haijengi reri kutoa msaada kwa raia hapana big no..ila ni jukumu la serikali kutimiza wajibu wake...sasa inaanza kujengwa mitandao yote ya kijamiii mikelele tu reli reli reli reli...yani ndokma reli yakwanza kujengwa duniani...
Huuuu ushamba wa kijing..a bwana....
 
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemtaka Mkandarasi Yapi Merkezi na Motaengil Africa anayejenga Reli ya kati ya kisasa (Standard Gauge) sehemu ya Dar es Salaam hadi Morogoro kilomita 205 kuhakikisha ujenzi huo unakamilika ndani ya miezi thelathini iliyopangwa.

Akizungumza mara baada ya kukagua tuta litakapojengwa reli hiyo kutoka pugu, soga hadi ngerengere profesa mbarawa amepongeza kazi inayoendelea na kumtaka mkandarasi kuongeza kasi ili kazi ya kutandika reli ianze katika muda mfupi ujao.

“Hakikisheni kazi ya ujenzi wa tuta na kiwanda cha kutengeneza mataruma ya zege vinakamilika katika muda wa miezi mitatu kutoka sasa ili kwenda na ratiba ya ujenzi huo,” amesema Profesa Mbarawa.

Profesa Mbarawa amekagua kiwanda cha kutengeneza mataruma ya zege yatakayotumika katika ujenzi wa reli hiyo na kusisitiza umuhimu wa mkandarasi kutoa fursa za ajira kwa wananchi wanaozunguka reli hiyo.

“Wale mtakaopata ajira katika reli hii hakikisheni mnafanyakazi kwa bidii na uaminifu ili kuwezesha ukenzi kuwa katika ubora unaotakiwa na kukamilika kwa wakati”, amesisitiza profesa Mbarawa.

Profesa Mbarawa amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli (TRL) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli RAHCO) Bwana Masanja Kadogosa kuanza mchakato wa kuagiza vichwa vipya vya treni vinavyowiana na Reli hiyo ili reli itakapokamilika kusiwe na hoja ya kusubiri vichwa hivyo.

Aidha amesisitiza umuhimu wa TRL na RAHCO kuandaa wataalam watakaotumika kuendesha Reli hiyo ya kisasa kwa kuwapatia mafunzo ya kiufundi na kibiashara ili kuhakikisha utendaji wa Reli hiyo unakuwa wenye tija.

Ujenzi wa Reli ya kisasa ya kati (Standard Gauge) awamu ya kwanza inayoanzia Dar es Salaam hadi Morogoro yenye urefu wa Kilomita 205 unatarajiwa kukamilika 2019 na Serikali inaendelea na juhudi za kuhakikisha inapata fedha ya Ujenzi wa sehemu ya Morogoro-Dodoma.

Zaidi ya Kilomita 2600 za Reli ya Kisasa (Standard Gauge) ZINATARAJIWA kujengwa kutoka Dar es Salaam –Morogoro-Dodoma –Tabora-Isaka-Mwanza na Tabora –Kaliua-Kigoma ili kuiunganisha Tanzania nan chi jirani na hivyo kuboresha huduma za uchukuzi na biashara.

Imetolewa na kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Mkandarasi anajenga kwa vitisho na mikwara miiingi bwana....siwamuache afanye kaz kwa mikataba iliyoingiwa akivunja atakuwa responsible yeye binafsi....
Mara hili Mara hiki...ahhh
 
Kwani hiyo miradi ikifanywa kimyakimya tukaja kushituka imeisha tu kwani haijengeki...huuuuuuu ushamba wa kiki za kipuuzi ifike hatua tubafilike basi....kuleta maendeleo ni kaz ya serikali..serikali haijengi reri kutoa msaada kwa raia hapana big no..ila ni jukumu la serikali kutimiza wajibu wake...sasa inaanza kujengwa mitandao yote ya kijamiii mikelele tu reli reli reli reli...yani ndokma reli yakwanza kujengwa duniani...
Huuuu ushamba wa kijing..a bwana....
very true...kujenga reli kule China, Japan ama Marekani ni jambo la kawaida sana...watu hawaendi mitandanoni kuruka ruka huku na kule....yaani miafrika tuna ushamba sana...
 
Mombasa ile yenye madampo kila mahala.. Au mombasa gani unayoiongelea?
India Watu asilimia arubaini (40%) hawana choo. Wanamwaga kinyesi peupe. Wanakunya pahali popote wajipatapo. Lakini India ina uchumi (GDP) kubwa kushinda Afrika. Uchafu na kinyesi haijazuia India kuipiku Afrika kiuchumi. Uchafu na maendeleo wapi na wapi? Mambo haya hayaendani? hata Shangai Kuna mchafuko mkubwa wa hali ya hewa lakini bado inazidi kutesa katika mambo ya uchumi.
India GDP
The Gross Domestic Product (GDP) in India was worth 2263.52 billion US dollars in 2016. The GDP value of India represents 3.65 percent of the world economy. GDP in India averaged 509.73 USD Billion from 1960 until 2016, reaching an all time high of 2263.52 USD Billion in 2016 and a record low of 36.54 USD Billion in 1960.
India GDP
GDP Growth Rate
GDP Annual Growth Rate
GDP
GDP Constant Prices
Gross National Product
Gross Fixed Capital Formation
GDP per capita
GDP per capita PPP
GDP From Agriculture
GDP From Construction
GDP From Manufacturing
GDP From Mining
GDP From Public Administration
GDP From Utilities
India GDP Notes
The gross domestic product (GDP) measures of national income and output for a given country's economy. The gross domestic product (GDP) is equal to the total expenditures for all final goods and services produced within the country in a stipulated period of time. This page provides the latest reported value for - India GDP - plus previous releases, historical high and low, short-term forecast and long-term prediction, economic calendar, survey consensus and news. India GDP - actual data, historical chart and calendar of releases - was last updated on August of 2017.
Actual Previous Highest
2263.52 2111.75 2263.52
Gdp by Country
Last
United States 18569.10 De
Euro Area 11885.66 De
China 11199.15 De
Japan 4939.38 De
Germany 3466.76 De
United Kingdom 2618.89 De
France 2465.45 De
India 2263.52 De
Italy 1849.97 De
Brazil 1796.19 De
Canada 1529.76 De
South Korea 1411.25 De
Russia 1283.20 De
Spain 1232.09 De
Australia 1204.62 De
Mexico 1046.00 De
Indonesia 932.26 De
Turkey 857.75 De
 
very true...kujenga reli kule China, Japan ama Marekani ni jambo la kawaida sana...watu hawaendi mitandanoni kuruka ruka huku na kule....yaani miafrika tuna ushamba sana...
Hebu search (SGR) uone namna mlivyokuwa mnajaza servers za jf kwa mapicha ya Reli yenu, now what is wrong when Tanzanians do the same, and especially with an advanced Rail line and locomotives?
Yes, we are doing all this to teach you Kenyans some lessons.
Angalau sasa tumefika mahala pazuri,
For decades You Kenyans labda because of being misinformed you've been looking down at Tanzania,

Don't you ask yourself why we are only showing Kenyans only when we are sarounded by UG, Zambia, Congo and Mozambique?
 
sijasema kuwa ni watz pekee yao...ila waafrika kwa ujumla....reli sio kitu inafaa tuskie kana kwamba tumefika binguni...ni jambo la kawaida tu...on the issue of teaching Kenyans a lesson...you are not doing anything because despite all these developments, our wealth gap is getting wider every year...Kenya hamwezi mkaifikia iko mbali sana...ila naona mnajaribu kwa hiyo congrats...bahati mbaya ni kuwa Kenya positioned itself as the EA hub zamani sana...ndio maana unaona investors wakitaka kuendeleza biashara zao EA wanapitia Nairobi...that is our advantage since a company might not even be interested in the Kenyan market but because Kenya is the regional hub, they decide to set up shop here only to invest in TZ and Rwanda but operate those business from Nairobi...thats why Nairobi imejaa skyscrapers...those skyscrapers nyingi si zetu ila ni za investors but we are fine since we get jobs and tax money from them in return...so ousting Kenya will not be easy...
 
Good thing is we are self funding this huge project,
Kenya with huge cooked GDP can't finance a 10km road.

Hehehe vipi kale kadeni mlilipa ili ndege iachiwe????
Anyway hongereni kwa hili la reli kama mkifanikisha maana hadi sasa tunaona ni press conference nyingi nyingi tu na matamko na mikwara.
 
Wacheni kuwaingilia Reli yao ndo inaanza.. Tulieni kwaza wacheji wa enjoy reli yao ikiianza alafu baadae ndo tuanze kukagua wakishaangusha mapicha ya kutosha, kwasasa hongera nyingi Watz, mwamko Mpya twawatakia safari njema mkiandza ujenzi wa reli yenu
 
Ujenzi ndio huo ushaanza ama unataka waanze kutandika reli bila kufanya maandalizi? Muda si mrefu reli zitaanza kutandikwa.
 
Hehehe vipi kale kadeni mlilipa ili ndege iachiwe????
Anyway hongereni kwa hili la reli kama mkifanikisha maana hadi sasa tunaona ni press conference nyingi nyingi tu na matamko na mikwara.

Zama zinabadilika, Magufuli ni mtu wa vitendo. Kila mradi chini yake lazima utakamilika, zile zama za miradi kuishia hewani zilishapita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom