RELATIONSHIP: western culture Vs African cul

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
E36BE4EE-04E5-44E2-8B5C-A46D0F96A333.png
10509F8D-A5D9-4DB5-8967-B558B7DBB82C.jpeg

Willy Smith baada ya Alsina,27, kusema alitembea na mke wake Pinkett Smith, 48!

august-alsina-jada-pinkett-smith-1531157713-compressed.jpg


Actress-Zena-Yusuf-Mohammed-Shilole-KOKO-TV-Nigeria-1.png

3B726B9F-DB53-4FB1-A82F-46C46CAA16B4.png

Uchebe akiendelea na yake!
 
Damn..It looks like Willy is about to hit the rock bottom!
 
Jamaa kamdunda mtu halafu hajachukuliwa hatua wala nini

Anaye mjua mganga wake anipeleke please
 
Jamaa kamdunda mtu halafu hajachukuliwa hatua wala nini

Anaye mjua mganga wake anipeleke please
Shilole ndio anatakiwa kumshtaki. Polisi hawawezi kufanya chochote kwa sababu she has capacity(akili timamu)!
 
Shilole ndio anatakiwa kumshtaki. Polisi hawawezi kufanya chochote kwa sababu she has capacity(akili timamu)!
Ile kesi unaweza ukashtkiwa na jamuhuri chief .. Kwa sababu inaingia katika group la Kesi za unyanyasaji wa kijinsia
 
Ile kesi unaweza ukashtkiwa na jamuhuri chief .. Kwa sababu inaingia katika group la Kesi za unyanyasaji wa kijinsia
Kama alimpiga nyumbani na hakuna shahidi yoyote. Bado Shilole atatakiwa kutoa ushirikiano ili jamuhuri wa shinde kesi

Ndio maana nikasema Shilole ana capacity anaweza kukata kutoa ushahidi. Jamuhuri watapeleka ushahidi wa Instagram mahakamani!

Kwenye nchi zikizoendelea ni rahisi kushtakiwa na serikali. Kwa sababu ukimpiga mke wake na akapiga kelele kidogo tu majirani au marafiki watapiga simu Polisi na wakija wataongea na mkeo. Na muda huo maelezo atakayotoa ndio watakayo tumia kama ushahidi mahakamani hata akikataa kutoa ushahidi baadae. Lakini pamoja na hivyo kama aliyepigwa akikataa kutoa ushahidi baadae nao serikali wanaipotezea.

Kama Shilole angekuwa hana capacity ni story nyingine. Uchebe ingebidi aeleze Shilole kapataje hayo majeraha. Kwenye nchi za wenzetu wana mental health act; safeguarding.
 
Back
Top Bottom