Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,134
- 6,419
Haaa haaa haaa haaa ha haaWanajifurahisha tu eti historia. Maneno mengi mno na kujitapa kwingi ndo maana wakati mwingine tunafurahi wakifungwa. Na msemaji wao yule dah!
View attachment 1787257
Nipo Mheshimiwa...!Ni majukumu ya kutumikia raia..Mbunge wangu. Long time no see
Halafu timu yenyewe iliyowafunga kumbe huko kwao pia ni utopolo tu. Yaani mmepigwa nne kwa nunge na utopolo. This sucksView attachment 1787468

Pole lakini kaka mkubwa

Pepo za kusi na pepo za kasi ni zetu sote.. Na kuteleza si kuangukaPole lakini kaka mkubwa![]()
Kujifariji ni lazima la sivyo unawezapata shinikizoPepo za kusi na pepo za kasi ni zetu sote.. Na kuteleza si kuanguka
Sent using Jamii Forums mobile app
la stressKwa leo inabidi kujikaza tu!
Kafanye uchawi na kupiga Ramli mkuu hiyo ndo fani yako huku tuachie wengine.With due respect.Thibitisha tuhuma zako
Kuna timu moja inaitwa LIBORO FC records iwekwe pia
Waliloweshwa HAMSA hao mambululaKuna timu moja inaitwa LIBORO FC records iwekwe pia
Huu unaitwa ubaguziKafanye uchawi na kupiga Ramli mkuu hiyo ndo fani yako huku tuachie wengine.With due respect.
Ni watu wenye akili za kindugay ndio wanaweza amini urongo huu.Limefutwa somo sio maandishiView attachment 1787201
Wewe rudi kwenye mambo yako ya tunguli, hizi rekodi ni za kupika.Maandishi hayafutiki wala hayaongopi, hii ndio historia ya UTOPOLO FC kwa timu za nje.
Sasa wanapomcheka na kumbeza mnyama wanajifariji tu.
View attachment 1787047