3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,249
- 6,979
Yanga anahusika na generation ambayo hatujaifikia bado... mwendo wa 16G !
Yanga anahusika na generation ambayo hatujaifikia bado... mwendo wa 16G !
rangi ya jezi imewachanganyaYanga hausiki na 4g jaman
Hivyo vipigo ni vingapi?Hivi vipigo vya Simba ilikuwa ni netball au soka??
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Tuliza akili usome ukiwa na utulivu, naona una vinasaba vya kukalia kama timu yako.Hivyo vipigo ni vingapi?
Kwahiyo Kaizer na Simba ni timu za netball?
Hakuna Utopolo mwenye akili,akiongea,akiandika ni Utopolo.
Utopolo ni kitu kilicholegea mithili ya mlenda.
Kwa sababu mlipata 3?!!Rekodi hio haipo imeandikwa fb kiholela Kisha wakai screenshot kupoza machungu.
Rekodi zote za uongo kasoro ya raja tu.
Sababu rekodi zingine hizo hazipo hio pekee ndio ipo .Kwa sababu mlipata 3?!!
Uto bana....!!!View attachment 1797194
duuuuuiihMaandishi hayafutiki wala hayaongopi, hii ndio historia ya UTOPOLO FC kwa timu za nje.
Sasa wanapomcheka na kumbeza mnyama wanajifariji tu.
View attachment 1787047