Pia kumbuka kipindi kile kulikuwa Hakuna TV pia ilikuwa hakuna offiside guys eleweni hayo mambo jamani wengi hapo mlikuwa hamjazaliwa kabisa.
UNASEMAJE?
View attachment 1787270
Mikia hamnaga akiliUtopolo ze marinda
Huu ni Uongo wa kitoto kabisaMaandishi hayafutiki wala hayaongopi, hii ndio historia ya UTOPOLO FC kwa timu za nje.
Sasa wanapomcheka na kumbeza mnyama wanajifariji tu.
View attachment 1787047
Mbunge wangu. Long time no seeYaani Utopolo wana hati chafu Kimataifa..
Mbunge wangu. Long time no see
Halafu timu yenyewe iliyowafunga kumbe huko kwao pia ni utopolo tu. Yaani mmepigwa nne kwa nunge na utopolo. This sucks View attachment 1787468
Babu bomba vipi leo umeingia mkenge, yaani hujatafakari kuwa hizo records hazipo?Maandishi hayafutiki wala hayaongopi, hii ndio historia ya UTOPOLO FC kwa timu za nje.
Sasa wanapomcheka na kumbeza mnyama wanajifariji tu.
View attachment 1787047
Haa haa haa kwahiyo ni wachawi wenzao?Kawaida wachawi ni washabiki wa simba.
Kwani jana Yanga ndiye kapokea G???Limefutwa somo sio maandishiView attachment 1787201
Haa haa haaa kwahiyo walijipigia tu ,
Haaa haaa sasa mtulie mjipange isije mkapata G kwa MkapaHapana